Wamasai ni watu jasiri sana

Wamasai ni watu jasiri sana

Mimi nahisi malezi waliyo lelewa tokea utoto wamefundishwa wao ndo wanatakiwa wawa control hao wanyama nasiyo wanyama ndio wawa control wao ni mental set sasa just imagine mtu tokea mtoto anawaona simba tu na simba tokea zamani wanaona hawa wavaa mashuka wanatuuwa lazima waogope ni sawa sawa na mtu wa bara akija huku pwani anashangaa katoto kadogo kanapiga mbizi baharini kina cha meli kupita lazima waseme watu wa pwani ni mashujaa
Umeejieleza vzur sana
 
Ujasiri kwa Wamasai sio kitu cha kuuliza ama kuigiza. ni INBORN THING, mtoto mdogo wa kiume wa kimasai anaweza kutoka na sime usiku wa manane umbali wa kilometer kadhaa bila woga, achilia mbali Moran aliyetoka jando mwenye Mkuki mzito wa kilo 3 mkononi.

Mwanamke mmoja wa Kimasai ana ujasiri unaowazidi Wanaume 300 wa Dar es salaam.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila wamasai wanaogopa bahari na samaki. Uoga mtupu...
 
Nimekaa porini Mimi asikwambie mtu kuna mambo mawili yanayotumika kupumbaza wanyama Hata awe Mkali namna gani:
1.Dawa za kienyeji-Asilimia zaidi ya 90,dawa hutumika kupumbaza wanyama na hufanya kazi (Hii Ni sehemu ya uchawi)
2.Mbinu za kiakili-Kuna mazingira inatokea huna dawa na Uko msituni,unafanyaje,
Hawa jamaa pia wanafahamu tabia za kila mnyama na namna ya kumhandle Hata kama anataka kukudhuru,mbinu zote zime egemea kwenye ujasiri
Mfano.Ukikutana na Simba hurusiwi kutetemeka Wala kuonesha hofu yeyote Hata kama anabweka sentimita chache toka kwako,ukitikisika au kuonesha hofu tu usoni imekula kwako,
Ili Ku survive roho ya ujasiri inahusika,zipo mbinu nyingi tofauti tofauti kulingana na aina ya mnyama na Tabia yake
 
Wanaume wa mikoani hivi mlifanywa nini na wanaume wa dar?je ni vitu vyenye ncha kali walitumia kwenu?
 
Ujasiri kwa Wamasai sio kitu cha kuuliza ama kuigiza. ni INBORN THING, mtoto mdogo wa kiume wa kimasai anaweza kutoka na sime usiku wa manane umbali wa kilometer kadhaa bila woga, achilia mbali Moran aliyetoka jando mwenye Mkuki mzito wa kilo 3 mkononi.

Mwanamke mmoja wa Kimasai ana ujasiri unaowazidi Wanaume 300 wa Dar es salaam.
Ha ha haa haa!
 
Mkuu wanaume wa dar wamekusoma
 
Mimi nahisi malezi waliyo lelewa tokea utoto wamefundishwa wao ndo wanatakiwa wawa control hao wanyama nasiyo wanyama ndio wawa control wao ni mental set sasa just imagine mtu tokea mtoto anawaona simba tu na simba tokea zamani wanaona hawa wavaa mashuka wanatuuwa lazima waogope ni sawa sawa na mtu wa bara akija huku pwani anashangaa katoto kadogo kanapiga mbizi baharini kina cha meli kupita lazima waseme watu wa pwani ni mashujaa
Exactly mkuu
 
Ujasiri Upo wa kutafuta chapaa mkuu. Hizo enzi za okonkwo NB things fall a part.ujasiri huo hana uwezo wa kumsomesha mtoto wake ujue,ampatie lishe nzuri, makazi mazuri,lishe nzuri.yaani hizo mambo zilokuwa enzi zile ukiua simba unachezewa ngoma kijiji kizima.ama ukitoka kuiba ngombe kwa jamii nyingine hapo ulikuwa unaonekana jasiri na mwanaume halisi.
Things have changed meeen.

We are quite different era
 
Mimi nahisi malezi waliyo lelewa tokea utoto wamefundishwa wao ndo wanatakiwa wawa control hao wanyama nasiyo wanyama ndio wawa control wao ni mental set sasa just imagine mtu tokea mtoto anawaona simba tu na simba tokea zamani wanaona hawa wavaa mashuka wanatuuwa lazima waogope ni sawa sawa na mtu wa bara akija huku pwani anashangaa katoto kadogo kanapiga mbizi baharini kina cha meli kupita lazima waseme watu wa pwani ni mashujaa
Wewe umekosea sema ni sawasawa na mtu wa Pwani aende Bara maana huko ndo kuna mashujaa wa kuogelea balaa, achana na wa maji chumvi. Nenda mwambao wa Ziwa Victoria ndo kuna wanaume huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom