MFIZIGO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 374
- 233
Acha matusi mtandaoniYani wewe ni kiazi kweli, huko Marekani mbali nenda South Africa tu raia wengi hawajui lolote kuhusu nchi zingine na Wazuru wengi mpaka leo sikukuu ya Idd hawaijui wanasema ni Xmass ya wahindi, mijitu mliokosa exposure ni shida tupu, kwa akili yako fupi unadhani Great Britain raia wake wote wanajuwa kama nchi yao inaitwa Uingereza? think big Young Man.