Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

Acha uongo waweza linganishaje uwezo wa obama ki utendaj na maguful? wapi vigezo walivotumia hapa?
 
Kwalipi aliolifanya mpaka wamarekani wakamuhitaji ameshidwa kuweka demokrasi Zanzibar halafu Leo marekani wanamuhitaji tuache kujifedhehesha kwa elimu ya darasa LA saba

democrasy ndio mdudu gani wa hed punguani wewe
 
Back
Top Bottom