Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

Habari zimfikie tingatinga popote alipo huko magogoni kuwa sasa sii afrika tuu bali ni dunia nzima, akaze uzi hata mataifa yanayojiita yameendelea yanajifunza kutoka kwake.
Haswaa mkuu
 
Na wewe acha kutupotezea humu ndani. wangejua nchi ya afrika ni moja wangewezaje kutuma ubalozi wao kwenye nchi tofautitofauti za afrika. na then vip kuhusu umoja wa mataifa unataka kutuambia kwao wanatambua africa ni nchi moja??
Jamaa yuko sahihi,raia wengi wa kawaida wa marekani na nchi nyingine za magharibi wanaichukulia Afrika kama nchi mmoja! Ni wachache mno wanajua kuna nchi inaitwa Tanzania,huko ndo ukweli.
 
Jamaa yuko sahihi,raia wengi wa kawaida wa marekani na nchi nyingine za magharibi wanaichukulia Afrika kama nchi mmoja! Ni wachache mno wanajua kuna nchi inaitwa Tanzania,huko ndo ukweli.

Mara ya mwisho kwenda marekani ilikuwa lini mkuu
 
Nina wacwac sana kama hizo mails ni za Wamarekani, as far as i know shule zao huko hawafundishwagi habari za nchi za Kiafrika, wao wanajua Africa ni kama nchi 1 tu. Nipo tayari kupingwa but siamini kama hayo tuliyosoma hapo ju ni ya raia wa USA, Labda hao watu wawe ni viongozi wa nchi hiyo na sio raia wa kawaida.
Mkuu utandawazi ni hatari,dunia yote inakua kiganjani
 
Na wewe acha kutupotezea humu ndani. wangejua nchi ya afrika ni moja wangewezaje kutuma ubalozi wao kwenye nchi tofautitofauti za afrika. na then vip kuhusu umoja wa mataifa unataka kutuambia kwao wanatambua africa ni nchi moja??

Ukweli hadi umepitiliza... Nchi moja mabalozi 50+??????????......
 
Nina wacwac sana kama hizo mails ni za Wamarekani, as far as i know shule zao huko hawafundishwagi habari za nchi za Kiafrika, wao wanajua Africa ni kama nchi 1 tu. Nipo tayari kupingwa but siamini kama hayo tuliyosoma hapo ju ni ya raia wa USA, Labda hao watu wawe ni viongozi wa nchi hiyo na sio raia wa kawaida.

U seem to be very difficult and complex person.. Mungu akusaidie
 
Mara ya mwisho kwenda marekani ilikuwa lini mkuu
Kwanza ni vizuri uelewe nimesema RAIA WENGI WA KAWAIDA,hii haimanishi wamarekani wote.pili huhitaji kwenda marekani kila Mara kuujua ukweli huu.
 
Naamini kila mmoja wetu anachangia kwa uelewa wake sasa tatizO liko wapi hapo mmh naam hakuna mtanzania mwenye upungufu wa akili humu ndani.. sasa tujaribu kutumia lugha nzuri..
 
Kwalipi aliolifanya mpaka wamarekani wakamuhitaji ameshidwa kuweka demokrasi Zanzibar halafu Leo marekani wanamuhitaji tuache kujifedhehesha kwa elimu ya darasa LA saba

Suala sio wanamuhitaji, ila wamevutika nae, pia darasa la saba sio issue issue ni kiwango cha uelewa wa mtu, tuna wasomi kibao nchi hii lakini hawajatusaidia chochote zaidi ya kukimbilia kukaa bungeni kuchapa usingizi tu.
 
Ww boya sana, sio kila mmarekani anajua grammar English, sawa tu na sio kila mswahili anaweza kuandika kiswahili sanifu. Soma comments zao kwenye facebook wanabofoa kiingereza.

CC: Nyani Ngabu[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
John Pombe Magufuli (phogo: -Khalfan Said/AP)
NPR (National Public Radio) ni chombo kimojawapo kikubwa cha habari nchini Marekani.

Chapisho la chombo hicho kumhusu Rais Magufuli lenye baadhi ya 'meme' zinazotengenezwa kwa 'hash tag' ya "WhatWouldMagufuliDo" limevuta hisia za watu kadhaa ambao wametoa maoni katika tovuti hiyo na kwenye ukurasa wa Facebook.

Mmoja wao alitamani kabisa kuwa Rais Magufuli ndiye awe Rais wa Marekani, amesema:
lunch time-?-3 days agoHe should be in our WH as president.-That deficit Obama talked about cutting seem to gotten bigger under his admin.
John Deatherage-?-2 days agoWe could use leaders like him. NPR is showing its left/liberal/progressive, "good government is big government leanings" with this story.-
Wanaoomba "TRA" yao ijifunze...

Mark P-?-3 days agoI hope our own IRS gets the meme about not wasting money on parties and conferences

Hajawahi kumsikia Magufuli isipokuwa habari imewagusa...

bkmacdonald96-?-3 days agoI have never heard of Magufuli before, but he sounds like a good man. Only spend money on what matters? I can get behind that.
Frito Bandeaver-?-3 days agoA great example for all of us! Way to lead by example.
Dave Cuthbert-?-3 days agoI am impressed.
lazyi-?-3 days agoi like this president. good example for us to follow sir.
Chris Dorhn-?-3 days agoGreat story, funny. A very inspiring leader, we need more like him.
Procax Nothus-?-3 days agoThe memes are funny but Magufuli described reforms will save his country resources.

USA Ina vyama viwili Republican ( small government ) Democratic ( big government ) .Kwa hiyo Magufuli angekuwa republican kikwete democratic .ok
 
Na wewe acha kutupotezea humu ndani. wangejua nchi ya afrika ni moja wangewezaje kutuma ubalozi wao kwenye nchi tofautitofauti za afrika. na then vip kuhusu umoja wa mataifa unataka kutuambia kwao wanatambua africa ni nchi moja??

Ndo ukweli huo mkuu..wanaojua kua Afrika ni bara lenye nchi nyingi ni wachache hasa waliosoma historia na viongoz wa kisiasa wengine hasa wananchi wa kawaida wanajua Afrika ni nchi moja kama ilivyo America yao.
 
Nakuuliza tena, mara ya mwisho kwenda marekani ilikuwa mwaka gani?
 
Habari za mtu huyu zimeenea mpaka nchi ya uzayuni.

Galilaya na samaria kote wanajua habari zake
Ninyi ni watu wa kupimwa akili wala siyo bure, hao Mazayuni ndio walioifananisha Tanzania na Mesopotania yaani ni nchi ya kusadikika sasa leo kwa jipya lipi au kwa interest zipi? mnajitia aibu sana humu mitandaoni.
 
Habari za mtu huyu zimeenea mpaka nchi ya uzayuni.

Galilaya na samaria kote wanajua habari zake

Nakuuliza tena, mara ya mwisho kwenda marekani ilikuwa mwaka gani?
Yani wewe ni kiazi kweli, huko Marekani mbali nenda South Africa tu raia wengi hawajui lolote kuhusu nchi zingine na Wazuru wengi mpaka leo sikukuu ya Idd hawaijui wanasema ni Xmass ya wahindi, mijitu mliokosa exposure ni shida tupu, kwa akili yako fupi unadhani Great Britain raia wake wote wanajuwa kama nchi yao inaitwa Uingereza? think big Young Man.
 
Naona mnaanza kupeana sifa za kijinga lakini mjiandae kupokea na aibu itakayofuata kwani ngoma ikipigwa sana mwisho wake upasuka.

Naungana na wewe kabisa mkuu maana huyu
mtoa post nadhani kutakua kunakitu amekula bilashaka kinamsumbua.
 
Nina wacwac sana kama hizo mails ni za Wamarekani, as far as i know shule zao huko hawafundishwagi habari za nchi za Kiafrika, wao wanajua Africa ni kama nchi 1 tu. Nipo tayari kupingwa but siamini kama hayo tuliyosoma hapo ju ni ya raia wa USA, Labda hao watu wawe ni viongozi wa nchi hiyo na sio raia wa kawaida.
Kina wamarekani wanaijua Tanzania na wameitembea kuliko wewe hapo.
Take this
 
Back
Top Bottom