Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
John Pombe Magufuli (phogo: -Khalfan Said/AP)
NPR (National Public Radio) ni chombo kimojawapo kikubwa cha habari nchini Marekani.

Chapisho la chombo hicho kumhusu Rais Magufuli lenye baadhi ya 'meme' zinazotengenezwa kwa 'hash tag' ya "WhatWouldMagufuliDo" limevuta hisia za watu kadhaa ambao wametoa maoni katika tovuti hiyo na kwenye ukurasa wa Facebook.

Mmoja wao alitamani kabisa kuwa Rais Magufuli ndiye awe Rais wa Marekani, amesema:
lunch time-?-3 days agoHe should be in our WH as president.-That deficit Obama talked about cutting seem to gotten bigger under his admin.
John Deatherage-?-2 days agoWe could use leaders like him. NPR is showing its left/liberal/progressive, "good government is big government leanings" with this story.-
Wanaoomba "TRA" yao ijifunze...

Mark P-?-3 days agoI hope our own IRS gets the meme about not wasting money on parties and conferences

Hajawahi kumsikia Magufuli isipokuwa habari imewagusa...

bkmacdonald96-?-3 days agoI have never heard of Magufuli before, but he sounds like a good man. Only spend money on what matters? I can get behind that.
Frito Bandeaver-?-3 days agoA great example for all of us! Way to lead by example.
Dave Cuthbert-?-3 days agoI am impressed.
lazyi-?-3 days agoi like this president. good example for us to follow sir.
Chris Dorhn-?-3 days agoGreat story, funny. A very inspiring leader, we need more like him.
Procax Nothus-?-3 days agoThe memes are funny but Magufuli described reforms will save his country resources.
 
Nina wacwac sana kama hizo mails ni za Wamarekani, as far as i know shule zao huko hawafundishwagi habari za nchi za Kiafrika, wao wanajua Africa ni kama nchi 1 tu. Nipo tayari kupingwa but siamini kama hayo tuliyosoma hapo ju ni ya raia wa USA, Labda hao watu wawe ni viongozi wa nchi hiyo na sio raia wa kawaida.
 
Chanzo: wavuti
 
Na wewe acha kutupotezea humu ndani. wangejua nchi ya afrika ni moja wangewezaje kutuma ubalozi wao kwenye nchi tofautitofauti za afrika. na then vip kuhusu umoja wa mataifa unataka kutuambia kwao wanatambua africa ni nchi moja??
 
Achana naye mpuuzi huyo
 
Go Magufuli go, ulipo tupo.
 
Last edited by a moderator:
Naona mnaanza kupeana sifa za kijinga lakini mjiandae kupokea na aibu itakayofuata kwani ngoma ikipigwa sana mwisho wake upasuka.
 
Daaah kweli Mkuu na nimaeamini watu Wa nchi hii wanamihemuko na hawajielewi hawajui america raisi ni institution sio mtu
 
Tukiambiwa Wabongo IQ yetu ndogo tunalalama mnaona tunatukanwa kumbe ni kweli wengi tuna akili ndogo, hivi wewe mleta mada unawajuwa Wamarekani au unawaona tu kwenye CNN? Je uajuwa hata stlye yao ya uandishi? yaani Mmarekani aandike broken English?

CC: Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Kwalipi aliolifanya mpaka wamarekani wakamuhitaji ameshidwa kuweka demokrasi Zanzibar halafu Leo marekani wanamuhitaji tuache kujifedhehesha kwa elimu ya darasa LA saba
 
Nina wacwac sana kama hizo mails ni za Wamarekani, as far as i know shule zao huko hawafundishwagi habari za nchi za Kiafrika, wao wanajua Africa ni kama nchi 1 tu. Nipo tayari kupingwa but siamini kama hayo tuliyosoma hapo ju ni ya raia wa USA, Labda hao watu wawe ni viongozi wa nchi hiyo na sio raia wa kawaida.

Duh! Ndo unavyojua? Mbona wengi wanafuatilia sana marais wao wanavyosafiri. Bush alikuja tz, Baraka pia, wanajua Baraka ni Mkenya, je, wanafikiri hizo nchi ziko nje ya Africa? Wanatoaje misaada ya MCC? Tuliokaa huko tunawajua vizuri wanavyojijua nchi zetu.
 
John Pombe Magufuli (phogo: -Khalfan Said/AP)
NPR (National Public Radio) ni chombo kimojawapo kikubwa cha habari nchini Marekani.

Chapisho la chombo hicho kumhusu Rais Magufuli lenye baadhi ya 'meme' zinazotengenezwa kwa 'hash tag' ya "WhatWouldMagufuliDo" limevuta hisia za watu kadhaa ambao wametoa maoni katika tovuti hiyo na kwenye ukurasa wa Facebook.

Mmoja wao alitamani kabisa kuwa Rais Magufuli ndiye awe Rais wa Marekani, amesema:
lunch time-?-3 days agoHe should be in our WH as president.-That deficit Obama talked about cutting seem to gotten bigger under his admin.
John Deatherage-?-2 days agoWe could use leaders like him. NPR is showing its left/liberal/progressive, "good government is big government leanings" with this story.-
Wanaoomba "TRA" yao ijifunze...

Mark P-?-3 days agoI hope our own IRS gets the meme about not wasting money on parties and conferences

Hajawahi kumsikia Magufuli isipokuwa habari imewagusa...

bkmacdonald96-?-3 days agoI have never heard of Magufuli before, but he sounds like a good man. Only spend money on what matters? I can get behind that.
Frito Bandeaver-?-3 days agoA great example for all of us! Way to lead by example.
Dave Cuthbert-?-3 days agoI am impressed.
lazyi-?-3 days agoi like this president. good example for us to follow sir.
Chris Dorhn-?-3 days agoGreat story, funny. A very inspiring leader, we need more like him.
Procax Nothus-?-3 days agoThe memes are funny but Magufuli described reforms will save his country resources.

Mchana mwema napita zangu wamarekaniii duh!!
 
Hata Henry Ford wao,mtu aliyeiletea dunia gari,alikuwa anaongea sana kuhusu economics ya kweli ,kuinvest hela katika maendeleo katika vitu vyenye tija na kuacha designer clothes nonsense.
 
Na wewe acha kutupotezea humu ndani. wangejua nchi ya afrika ni moja wangewezaje kutuma ubalozi wao kwenye nchi tofautitofauti za afrika. na then vip kuhusu umoja wa mataifa unataka kutuambia kwao wanatambua africa ni nchi moja??
soma vizuri umuelewe acha kukurupuka
 
Labda wanatamani atumie busara na Maalim Seif atangazwe kuwa rais wa Zanzibar kama wapiga kura walivyomchagua.
 
Hata Henry Ford wao,mtu aliyeiletea dunia gari,alikuwa anaongea sana kuhusu economics ya kweli ,kuinvest hela katika maendeleo katika vitu vyenye tija na kuacha designer clothes nonsense.

Sahihisho Henry Ford hakugundua gari bali aligundua assembly line ya kutengenezea magari, gari liligunduliwa na Karl Benz ambaye ndiye aliyepatent gari la kwanza Duniani Mercedes- Benz ambapo Mercedes lilikuwa ni jina la binti yake!

Back
Top Bottom