Wamama watu wazima mtatumaliza

Wamama watu wazima mtatumaliza

haha haas da badilisha avator hiyo inakuharibu

haya mkubwa!!
Nisibishane sana na wewe na mimi nikaonekana
zuzu.
Endelea kutafuta warembo, na kwa style hii utapata wa type yako.

Ni muhimbili au mhimbili?

ubishi wako kama wa watoto wa mtani unakagua herufi hahahaaa,yani watu vitu huwa mnasoma juu juu nimesema nilikua kwenye daladala ya ubungo chuo makumbusho bado una sema kama unasoma udsm ni shida sasa udsm kuna kozi ya pharmacy hujioni kama kichwa chako majanga mkuu hahahaaaa dahl pole mkuu unastahili hapo ulipo
 
we mshikaji vipi?
 
Hahaaa ile basata walintumiq e,ail email via if nieiweke aka niwiweke aka nisiweke
 
nimemweleza nilikua napita lakini ananiuliza nilikwenda kufanya nini daa jf kuna watu viaz kweli
Viazi vinaliwa nivilaza juelewa wjidaa aka whida aka shidaaa
 
mhimbili ndiyo chuo gani?

Miaka mitatu unafanya kazi halafu unatafuta mchumba online?
What wrong with you?
Domo zege!!
Huna hela!!
Au nini shida jamaa..

ila n
mkuu nakuhurumia sana, maana ktk maisha yako unadhani mtu mwenye pesa nikuchagua wanawake kama nanya sokoni .mimi nimetafuta marafiki tu lakini huku ukijijua kwa akili zako kuwait wewe ni wakiume umefungua thread inayowahusu wanawake huoni kama unakatatizo fulani mkuu
 
Wewe ni duwanzi.. Kwa uandishi huu eti pharmacist... Acha mboyoyo mzee kutunga story nako kipaji.. Sasa kama sio uongo hapo UDSM inahusikaje? Kuandika kwenyewe kwa herufi kubwa.. Acha ubwege mkuu..karibu lakini MMU
Hahaaaa MTU KAMA Mg JF tumekukata MKIA WENYEWE ILA LEO BADO HUWEZI SOMA THREAD UKAIELEWA UKACHANGIA NENDA FACEBOOK SAIZ YAKO
 
Hahaaa ile basata walintumiq e,ail email via if nieiweke aka niwiweke aka nisiweke
kisome vizuri ULICHOANDIKA NA UNGEKUA MCHANGIAJI UNGEELEWA NINI,KUSEMA HUWEZI HATA KUANDIKA KWAKO NI SHIDA
 
ila n
mkuu nakuhurumia sana, maana ktk maisha yako unadhani mtu mwenye pesa nikuchagua wanawake kama nanya sokoni .mimi nimetafuta marafiki tu lakini huku ukijijua kwa akili zako kuwait wewe ni wakiume umefungua thread inayowahusu wanawake huoni kama unakatatizo fulani mkuu

Mkuu nyamaza tu..
Ukiwa muongo usiwe mwepesi kusahau..

Nikimwita Tyta hapa atakuaibisha tu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nyamaza tu..
Ukiwa muongo usiwe mwepesi kusahau..

Nikimwita Tyta hapa atakuaibisha tu!!

KWA HIYO WW ULIKURUPUKA TUU MPAKA USUBIRI AJE Tyta HAHAHAAA DAHL JF HAPAKUFAI MWITE AIPITIE VIZURI SANA THREAD YANGU THEN AONGEE, HIVI KUMBE WW NI MOJA YA WATU WANAOWEKA STORI ZA UONGO JF NAKUASA ACHA MKUU, UNAJUA KAMA WW NI MTU MAKINI UKIINGIA JUKWAA LA MMU MODERATOR AMETOA MANENO HAYA JUKWAA HILI NI LA KUTAFUTA WACHUMBA, MARAFIKI NA USIPO LITUMIA LITAFUNGWA JE WW UNAPENDA LIFUNGWE,? KWA NN MPAKA UMRI HUO WA 20s HUWEZI PITIA STORI KWA KICHWA CHAKO UKACHANGIA MPAKA USUBIRI MTU FULANI ACHAMBUE MAADA.KIWATENGU AND YOU ARE PROUD POLE
 
wewe humtaki, watu wanataka namba yake wewe hutoi kama siyo uongo ni nini? Wape namba hao wanaomhitaji ili wachukue nafasi yako
mbona ww ujaomba omba ili umchukulie kakaako yule mwenye 35 nagombana na mkewe afe vizuri
 
Hahaaaa MTU KAMA Mg JF tumekukata MKIA WENYEWE ILA LEO BADO HUWEZI SOMA THREAD UKAIELEWA UKACHANGIA NENDA FACEBOOK SAIZ YAKO

We kweli bwabwa.. Kichwa kibovu hicho... Yaan siku hizi ukitoka ubungo ukipanda daladala linalopitia chuo kwenda makumbusho basi unasema umetoka UDSM.. Basi na sisi tunaopanda daladala za G/Mboto itabidi tuseme tumetoka JKNIA... Kama hujaelewa uliza maana wewe ni Mulugo product.. Div 5
 
KWA HIYO WW ULIKURUPUKA TUU MPAKA USUBIRI AJE Tyta HAHAHAAA DAHL JF HAPAKUFAI MWITE AIPITIE VIZURI SANA THREAD YANGU THEN AONGEE, HIVI KUMBE WW NI MOJA YA WATU WANAOWEKA STORI ZA UONGO JF NAKUASA ACHA MKUU, UNAJUA KAMA WW NI MTU MAKINI UKIINGIA JUKWAA LA MMU MODERATOR AMETOA MANENO HAYA JUKWAA HILI NI LA KUTAFUTA WACHUMBA, MARAFIKI NA USIPO LITUMIA LITAFUNGWA JE WW UNAPENDA LIFUNGWE,? KWA NN MPAKA UMRI HUO WA 20s HUWEZI PITIA STORI KWA KICHWA CHAKO UKACHANGIA MPAKA USUBIRI MTU FULANI ACHAMBUE MAADA.KIWATENGU AND YOU ARE PROUD POLE

Mkuu unakumbuka huu uzi wako wa jana?

Habari wana mmu .Mwenzenu napitia kamtihani Fulani hapa.NINAPOSEMA KAMTIHANI NAMAANA MAJARIBU/KIPIMO .MM NINAMPENZIWA WANGU MOJA JINA KAPUNI NA NAJITAHIDI SANA KUMVUMILIA NA PIA NAMJALI SANA TU.KWA SASA KAMALIZA UALIM WA SHULE YA MSINGI NA SASA ANASOMA ILI AFANYE MTIHANI WA KIDATO CHA TANO NA SITA.

MAISHA YAO KWAO SI HABA MAMBO SAFI TU.NAMI NAFANYANYA KAZI YANGU MAENEO FULANI HAPA MJINI SO MAISHA HAYASUMBUI NAMSHUKURU MUNGU.TATIZO ALILONALO HUYU BINTI AU MATATIZO YAKE NI HAYA AKIKUPIGIA SIM UNAWEZA UKAWA OFISINI HUJAONA NA BAADAE KUMPIGIA TUHUMA ANAZO KUPA DAA UKIRINGANISHA NI MCHANA UNACHOKA MARA ULIKUA NA WANAWAKEZAKO ,MARA NALINGA SASA JANA NINAMDOGO WANGU MMOJA ALIKUJA HAPA KWANGU NA TUKAPIGA STORY KAMA MPAKA SA 4 HIVI SASA KUMBE AKAWA AMEPIGA NA ISITOSHE ALIKATAA KUJA KWA KUA WAPO HOME KIFAMILIA(CHAGA) SO NILIPO PIGA SIM SASA MATUSI NILIO PATA MPAKA NIMEKOMA KIMSINGI SIONI HAJA YA KUA NA MTU KAMA HUYU HATA AKIOMBA RADHI HAITASAIDIA HUKO MBELE BADO ITAKUA NI JANGA TU.NINAMPANGO WA KUMPOTEZEA LABDA MWENYE USHAURI WA BUSARA MBALI NA DECISION YANGU ANISHAURI.

MAANA NI NA MASHAKA AMEKUA SOMETIMES AKIWASILIANA NA WATU FULANI NABNIKIMUULIZA MARA WANANISUMBUA TU LAKINI NAMUONA KAMA ANAWAPENDA HAO JAMAA.NAONA NI KAMA YY MCHEPUKO WA WATU TAYARI USHAURI WENU TAFADHARI
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA X MASS
hiyo ilikuwa jana asubuhi

Wana MMU habarini .NAJUA KUNA WA DADA WENGI TU NA WANAWEZA KUA NA TABIA NZURI WALIDANGANYWA NA WAPENZI WAO NA MWISHO WA SIKU WAKATEREKEZWA ISHALLA.MM NI MKRISTO NA NIMFANYA KAZI NIPO DAR NATAFUTA RAFIKI WA KIKE ANAYEJITAMBUA NA KUJIDHAMINI AWE RAFIKI YANGU WA KARIBU ILA SIJAOA .NINGETARAJIA KUOA KAMA NIKIMPATA MTU MWENYE FIKRA NA MTIZAMOMCHANYA.ILA ASIWE NA UMRI ZAIDIMYA MIAKA 27 NA SI CHINI YA MIAKA 20 MM NINAMIAKA 29
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ALIYE MATURED/ALIEKOMAA KI AKILI ANAWEZA KUNI PM

Leo ukaja na hii..
 
duuu!!!, hatari hiyo ndugu , inaonekana na wewe una ile sitaki nataka
 
acha kulia lia bana...mapenzi ni hisia. Amekueleza hisia zake. Kama wewe huna hisia kwake, mweleze kwa upole yaishe.

Ni mambo ya kawaida hayo siku hizi.

umesema na langu, mwenye kuleta uzi amekosea kuleta malalamiko utadhani kabakwa vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom