Mwongo origin from expmaishayasasa upatejimama uliache Si mwehu we wee press us za hawa vi gf loMkuu umejuaje kama anaongopa....
Wewe ni duwanzi.. Kwa uandishi huu eti pharmacist... Acha mboyoyo mzee kutunga story nako kipaji.. Sasa kama sio uongo hapo UDSM inahusikaje? Kuandika kwenyewe kwa herufi kubwa.. Acha ubwege mkuu..karibu lakini MMU
Mwongo origin from expmaishayasasa upatejimama uliache Si mwehu we wee press us za hawa vi gf lo
NAJENGA TAIFA MKUU NILIMALIZA MHIMBILI MIAKA 3 iliyo pita
unajua mtu kama ww pididy sijui p.dushe hali yako ya kimaisha kwanza najua yakuotea otea tu.kitengo ninacho fanyia mm ni rahisi hata nikimpata mchumba jf hapa awe tayari kupima vvu sasa we pididy si unavundikaga dushe lakota tu.hapa ninaposema sema ungekwisha kama umekomaa kiakiri huta niulizamwongo origin from expmaishayasasa upatejimama uliache si mwehu we wee press us za hawa vi gf lo
Acheni hizo kwani UDSM wanaofika ni wanachuo tu? amesema alikuwa anatokea UDSM wakawa wamekaa karibu sasa hapo shida nini
mhimbili ndiyo chuo gani?
Miaka mitatu unafanya kazi halafu unatafuta mchumba online?
What wrong with you?
Domo zege!!
Huna hela!!
Au nini shida jamaa..
Kwa hy hapo UDSM alienda kufanya nn hasa... Kununua bamia au?? Acheni kutetea ungese huyu anatafuta kiki tu hapa..
unadhani kutongoza online domo zege hahahaaa. Mkuu mbona kubwa jinga hivo unadhani ni ukitongoza onlne hamtakutana na huyo dem au unaweza tu kutata.mhimbili ni chuo cha afya nchini tanzania najua kwa levo yako nimekutosheleza
Kile ni chuo na kila mtu anaenda kwa shughuli yake binafsi ,
hey..za long time?
merry Christmas
We ntaifutie ileyazqmani sijuo imeendawapibana unakulqwapi kicking dayHaha haas da badilisha avator hiyo inakuharibu