Wadada wenye muonekano mzuri watabaki kuwa michepuko tu

Wadada wenye muonekano mzuri watabaki kuwa michepuko tu

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habari wana mmu .Mwenzenu napitia kamtihani Fulani hapa.NINAPOSEMA KAMTIHANI NAMAANA MAJARIBU/KIPIMO .MM NINAMPENZIWA WANGU MOJA JINA KAPUNI NA NAJITAHIDI SANA KUMVUMILIA NA PIA NAMJALI SANA TU.KWA SASA KAMALIZA UALIM WA SHULE YA MSINGI NA SASA ANASOMA ILI AFANYE MTIHANI WA KIDATO CHA TANO NA SITA.

MAISHA YAO KWAO SI HABA MAMBO SAFI TU.NAMI NAFANYANYA KAZI YANGU MAENEO FULANI HAPA MJINI SO MAISHA HAYASUMBUI NAMSHUKURU MUNGU.TATIZO ALILONALO HUYU BINTI AU MATATIZO YAKE NI HAYA AKIKUPIGIA SIM UNAWEZA UKAWA OFISINI HUJAONA NA BAADAE KUMPIGIA TUHUMA ANAZO KUPA DAA UKIRINGANISHA NI MCHANA UNACHOKA MARA ULIKUA NA WANAWAKEZAKO ,MARA NALINGA SASA JANA NINAMDOGO WANGU MMOJA ALIKUJA HAPA KWANGU NA TUKAPIGA STORY KAMA MPAKA SA 4 HIVI SASA KUMBE AKAWA AMEPIGA NA ISITOSHE ALIKATAA KUJA KWA KUA WAPO HOME KIFAMILIA(CHAGA) SO NILIPO PIGA SIM SASA MATUSI NILIO PATA MPAKA NIMEKOMA KIMSINGI SIONI HAJA YA KUA NA MTU KAMA HUYU HATA AKIOMBA RADHI HAITASAIDIA HUKO MBELE BADO ITAKUA NI JANGA TU.NINAMPANGO WA KUMPOTEZEA LABDA MWENYE USHAURI WA BUSARA MBALI NA DECISION YANGU ANISHAURI.

MAANA NI NA MASHAKA AMEKUA SOMETIMES AKIWASILIANA NA WATU FULANI NABNIKIMUULIZA MARA WANANISUMBUA TU LAKINI NAMUONA KAMA ANAWAPENDA HAO JAMAA.NAONA NI KAMA YY MCHEPUKO WA WATU TAYARI USHAURI WENU TAFADHARI
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA X MASS
 
WADADA WENYE MUONEKANO MZURI WATABAKI KUWA MICHEPUKO. Eheeeee! haya bhana
 
jaribu kutenga muda ukaenae then umuulize nikwann anafanya hivyo hapo ndo utapata jibu.
mimi kwa fikra zangu nahisi huyo msichana wako hakuamini, je, alisha wahi kukufuma? au labda inaelekea alishawahi kutendwa b4. ongea nae mtayamaliza kwa amani.
 
Kwa mwandiko huu tu yatosha kusema huyo si size yako!
Utaumia mbele ya safari! Rudi kijijini kwenu waambie wazazi wakuangalizie binti mnyenyekevu atakaeendana na matakwa yako!
 
Kaka! msome vizuri, kuna wadada wengine wanaupendo wa kweli na ni waoga..

matusi na hasira za haraka haraka ni kama defense mechanism yao.
Jitahidi umuoe huyo, ambaye anajifanya positively..

Take my words huyo kama anakupenda ni wewe kukaa nae na mfanye setting nzuri.
usikae nae mbali sana.
 
Mtu hawezi akaanza tu kukutuhumu from no where kua uko na wanawake zako....sio chizi huyo
na huko kua mchepuko wa mtu huenda ni process za kuangalia ustaarabu mwingine akuache!!!
 
Nafikir tayar unajiandaa kuwa kichwa cha familia hebu basi jaribu kulimaliza suala hili kwaakili yako bila kupewa za ziada na akina sisi.

Hebu chukulia mdogo wako ndio yamemfika halafu ww ndio kichwa cha familia na amekuja kukuomba msaada wa mawazao utampa ushauri gani?.
 
Jaribu kuandika upya... Huwa siwezi kusoma maandishi yenye capital letter tu.
 
Inawezekana huyo bint anakupenda sana ila alishawahi kutendwa sana kiasi kwamba akili yake inakuwa imetawalia na dhana mbaya kwako anaona ndio walewale.
 
Mtu hawezi akaanza tu kukutuhumu from no where kua uko na wanawake zako....sio chizi huyo
na huko kua mchepuko wa mtu huenda ni process za kuangalia ustaarabu mwingine akuache!!!

Dada unanibariki sana Mungu akupe afya njema uishi miaka mingi
 
You are shouting!!Ila nadhani punguza hasira,kaa chini mzungumze!!Alafu heading haina ukweli asilimia zote!!Huku mkoani wadada wazuri karibu wote ni wake za watu,michepuko wabaya wamekongoroka!
 
Sema nae...mawasiliano ndio dawa...
Kama ulivyoandika hapa mwambie hivyo hivyo bila kutafuna maneno...
Mwambie unafikiria kuachana maana huwezi kuwa na mwanamke mwenye mdomo mchafu na shutuma zisizo na kicha wala mguu...

Kama atakuona una umuhimu atakuaidi kuacha...akizidisha matusi chapa lapa kwa kuwa unaweza fanya hivyo sasa before it is too late...(kuacha mke si kazi rahisi...it is either now or never)
 
Ila ujue wanawake wanapenda kulalamika...(ila si matusi)
Sababu wanapenda kuona kuwa waume zao wana care...
Na ukiwajulia hutakaa uwe na mahusiano mabaya...

Jitahidi ujue saikolojia...kuna mwana saikolojia mmoja anasema kama angejua kuhusu wanawake asingeachana na mkewe wa kwanza...amekuja kuwajua wanawake when it was too late...
 
Kabla ya kumtema minya kwanza kama wiki au hata wiki mbili bila mawasiliano yoyote labda kimya chako kinaweza kusaidia akaona ayafanyayo si sawa hivyo kuamua kujirekebisha, ukiona bado analeta za kuleta piga chini anza upya katika dept ya mapenzi.

 
Last edited by a moderator:
kabla ya kumtema minya kwanza kama wiki au hata wiki mbili bila mawasiliano yoyote labda kimya chako kinaweza kusaidia akaona ayafanyayo si sawa hivyo kuamua kujirekebisha, ukiona bado analeta za kuleta piga chini anza upya katika dept ya mapenzi.






kaja na adabu na kuomba misamaha kibao na nguo yake imelowa michozi
na kuahidi hatorudia katu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom