Wamama watu wazima mtatumaliza

Wamama watu wazima mtatumaliza

Mkuu umezunguka kote huko ila if you read btn the line ni kwamba unahitaji kipapatio humu Jf.
 
mkuu unakumbuka huu uzi wako wa jana?


Hiyo ilikuwa jana asubuhi



leo ukaja na hii..
nimetongoza mtu mkuu, kwahiyo nisiseme yaliyowahi nitokea? Hapa mbona tunapeana ushauri shida nini
 
nilikua na mambo mengine sipati mshara jf zaidimya ya mawazo unadhani mpigakelele mm kiwatengu mshamba kweli ww

poa mkuu...
wewe ni wewe na wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe.
sita kuquote tena.
 
wepson ufafanuzi tafadhari....
UNAJUA TYta KIWATENGU NI JAMAA ANAYEKURUPUKA SANA MI NIMEWEKA UZI WA TABIA YA MAMA MMOJA AMBAYE AMEWAHINKUNILETEA MAMBO YALIYONIDUWAZA SASA JAMAA AKAANZA KUNIJIA JUU UDSM ULIKUA UNAFANYAJE MALA MBONA HUTOI NAMBA YA HUYO MAMA NIKAMWAMBIA KWA PROFESSIONAL YANGU NAMBA YA MAMA SIO UADILIFU KUTOA KWAKO UMUENJOY .NA BY THE WAY HAPA NI SEHEM YA KUPEANA MAWAZO NA USHAURI KAMA MTU AKIWASILIANA NA TATIZO NA AU KAMA ANAWEZA KUKUTANA NA TATIZO KAMA ALILOLETA JAMVINI BAADAE, ILA JAMAA KAACHA HOJA YA MSINGI MAONI NA USHAURI KAKOMAAVSTORI YA UONGO HATA AKIJA Tyta ATANIUMBUA .NIKAJIULIZA TYTA NAFANYANAE MIZUNGUKO YANGU KILAUEA MAHARA KIASI KWAMBA AKAWA SHAHIDI WANGU? JIBU HAPANA NIHAKIM WA JF JIBU SIO NIKAMWAMBIA AKILI YAKE NI TA KITTOTO MKUU TYTA NIMEMKOSEA KIWATENGU KWA HOJA ZAKE HIZO? HUONI KAMA NI KWELI ZA KITOTO? SASAHIVI KATUPIA UJUMBE MPIGAKELELE KELELEBNIMEKIMBIA SASA KWA KWELI KWA HESHIMA YA WANAJAMVI WENGINE NAOMBA KIWATENGU AENDE FACEBOOK BADO HAPA HATUFAI
NAWASILISHA
 
wepson ufafanuzi tafadhari....

mmasai unajua na dogo sasa hivi hahahaaa wenzio wako msituni umekimbilia huku.tutakurudisha kwa wahazabe ukale tena nyama mbichi na matunda tulia wewe
 
poa mkuu...
Wewe ni wewe na wewe huwezi kuwa mimi na mimi siwezi kuwa wewe.
Sita kuquote tena.

sasahivi uneonyesha machurity sana mkuu keep it up ilitakiwa uwe hivyo
 
mkuu umezunguka kote huko ila if you read btn the line ni kwamba unahitaji kipapatio humu jf.
umenikoti vibaya ila ni mawazo yako mkuu si wezi kukukataza fikiri hivyo akili ni nywele kilauea mtu na zake
 
kama unasoma UDSM basi..
hiki chuo hamna kitu tenaaa..

Eti anasema yeye ni pharmacists ...si uwongo.huo.

Jiandiko kiswahili si kiswahili...labda anasoma certificate ya pharmacy kam college. ..kwa uandishi huo...physiology..pharmacology ...anatokaje.???...
 
Eti anasema yeye ni pharmacists ...si uwongo.huo.

Jiandiko kiswahili si kiswahili...labda anasoma certificate ya pharmacy kam college. ..kwa uandishi huo...physiology..pharmacology ...anatokaje.???...

huyo jamaa yuko low sana..anaingia kwenye mitandao kichwa kichwa...
 
NAJENGA TAIFA MKUU NILIMALIZA MHIMBILI MIAKA 3 iliyo pita

Muhimbili utapasikia tu..pale hawaendi vilaza km wewe..hujui kuandika utafaulu vipi uende Muhimbili ----- wewe ..tuachie fani zetu....pharmacists utadispense vipi dawa..kuandika hujui..
 
muhimbili utapasikia tu..pale hawaendi vilaza km wewe..hujui kuandika utafaulu vipi uende muhimbili ----- wewe ..tuachie fani zetu....pharmacists utadispense vipi dawa..kuandika hujui..
mjinga mwingine ww na certificate ya nursing unajifanya pharmacist unafanyia wapi nije nikukague ofisini kwako bidada halafu nafunga kale kadispensary unapofanyia bosiwako namwambia assistant nurse huyu hana viwango kasomeavchuo cha chimala tulia dada utamwaga mboga na ugali shaurizako kama uko poa ni pm
 
Lingekuwa limama zuri then mmekutana pale samaki wala uzi huu usingeuleta!!!!
 
mjinga mwingine ww na certificate ya nursing unajifanya pharmacist unafanyia wapi nije nikukague ofisini kwako bidada halafu nafunga kale kadispensary unapofanyia bosiwako namwambia assistant nurse huyu hana viwango kasomeavchuo cha chimala tulia dada utamwaga mboga na ugali shaurizako kama uko poa ni pm

Maneno ya mkosaji....ushadharauliwa jf...badili ID tu uje kivingine....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom