Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,156
- 124,772
Unaijua haingii akilini kabisa eti dume zima unaenda salon kufanyiwa scrub!
Kuna siku nilikafokea kamdada kamoja hivi kwa kinyozi pale Victoria kwenye kona ya kwenda Mwananyamala.
Mi nimeenda kunyolewa nywele kichwani na ndevu kenyewe kananiuliza kama nataka scrub sijui na nini kile kingine....
Nikakaambia we 'binti tafadhali sana niheshimu nami ntakuheshimu. Sifanyagi hayo madudu mimi'
Ungempa jibu moja tu kwamba 'sihitaji' ungekatika mkono