Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,054
- 79,399
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na kujimudu. Na sitahusika na madhara yoyote yatakayotokana na kusoma kwako hapa.
1. Unakuta limama lijitu lizima. Bila aibu wala kujali hisia za watoto wake wakiume. Anadate na kijana Mdogo Sawa na mwanaye.
2. Niwaambie tuu ukweli. Ukitaka umkomeshe mtoto wako wakiume. Umkere, umuabishe, umfanye akose kujiamini mbele za vijana wenzake. Fanya kudate, kulala na kijana wa umri wake. Kwisha!
3. Wanaume wote duniani hujihisi aibu na kudhalilishwa pale Mama zao wanapoamua kujidhalilisha kwa kulala na vitoto vidogo.
4. Kwa Sisi Watibeli heshima kwa Mama hata angetuzaa mapacha tunaofanana, hata angetulea kwa shida na visingizio vya hapa na pale. Heshima inashuka kabisa. Mama kajishushia heshima mwenyewe.
5. Kama hakujali heshima Yake Sisi hatuwezi kujali pia. Heshima inashuka kwa kiwango cha mwisho.
6. Mama unajua unawatoto wakiume. Unaanzaje kufungua utupu wako kwa vijana wadogo kama sio ushenzi huo.
7. Oooh! Ni haki yake. Kutumia mwili wake atakavyo. Sawa. Lakini haki yake hiyo inaabisha watoto wake. Inawafanya wajisikie vibaya. Wakereke. Waumie. Haki ya kudhalilisha watoto wako mwenyewe.
8. Yaani mikunjo, nyama kulegea, mvi kuanza Kuota mpaka kwenye mavuzi na vikwapa. Unawezaje? Unawezaje kumfungulia mtoto Mdogo utupu wako? Hapana! Haya mambo ni aibu Sana.
9. Najua ni mambo magumu kuyasema mbele za watu. Hayazungumziki lakini mara mojamoja sio mbaya kuyasema kwa sababu vijana wengi sasa hivi wanapitia maumivu makali.
10. Nimeandika haya baada ya kuwa too much vijana watatu katika mazingira na wakati tofauti wamenipigia simu wakiomba ushauri. Wanapitia kipindi kigumu Sana.
11. Watu wajiheshimu. Vijana na nyie mnaopenda mashangazi mjiheshimu. Mtakuja kufirimbwa. Achana na Waume zao. Bali hata watoto wao wakiume hujihisi vibaya, kuabishwa, kudhalilishwa, kuvuliwa nguo.
12. Just imagine wewe hapo usikie kuna kijana huko kijijini anatoka na Mamaako, tena anaingia mpaka nyumbani. Inaenda mbali zaidi hampi Babaako anampa huyo kijana.
Kama haitoshi chakula ambacho unatuma pesa nyumbani anapewa kijana kipaombele kuliko Babaako.
13. Kuna Stori ukizisikia unaweza kusema ni hadithi za kina kanumba. Zinaumiza Sana.
14. Wanawake, hakuna Raha yoyote utakayompa Kijana uliyemzidi umri kwa mbali zaidi ya kujichoresha, kujiabisha, kujidhalillisha, kumdhalilisha mtoto wako. Na mwisho huyo kijana atakuacha lakini aibu, fedheha, maumivu kwa mtoto wako yatadumu milele.
15. Tumia Akili. Thamani yako kama mwanamke ni kubwa. Usijiabishe.
Tafuta watu wa rika lako kama umalaya umekuzidi.
16. Au kama Huna mume sio sababu utoke na kijana Sawa na mtoto wako.
Jiheshimu. Kuna mambo watoto hawatakiwi kuyaona mpaka wafikie umri husika.
Mtu hajaota hata mvi kichwani. Wewe unamvi unawezaje kumvulia nguo aiseeh!
17. Mimi nimemaliza. Mwenye hasira Aje. Ukweli ndio huo
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam