Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,115
- 28,252
N.B-->>SEREKALI MAKINI KABLA YA KUANZA KUWAFUKUZA HUAANDA ENEO MAALUMU LA KUWAPELEKA...#wengi wamekopa mikopo,#wengi wanategemewa na familia zao.
Barabarani ndio penye wateja sasa wafanyeje? We utafunga safari kwenda machinga complex kununua “mishkaki ya pumbu”Maeneo yapo hawataki tu kwenda. Wanataka barabarani
Jamaa aliuawa sababu ya ubishi bila shaka! Ukishaona umekosea si unakubaliana na mwenye mali tu mnayamaliza! Ukute jamaa alijifanya kuwavimbiaKuna siku moja pale mtaa wa Msimbazi walimuua jamaa mmoja mwenye gari baada ya kukanyaga bidhaa zilizopangwa kwenye lami,na jamaa wiki hio hio ndio alikuwa anafunga Ndoa.
Wanavyoweka vibanda kwenye njia ya watembea kwa miguu ni sawa utaombaje msamaha au utajishushaje kwa kosa ambalo unajua so lake.Jamaa aliuawa sababu ya ubishi bila shaka! Ukishaona umekosea si unakubaliana na mwenye mali tu mnayamaliza! Ukute jamaa alijifanya kuwavimbia
Ukanyange vitu vya mtu halafu useme hujakosea? Kwanini asingepita mbali huyo bwana inaonekana alikuwa mtu wa dharau!Wanavyoweka vibanda kwenye njia ya watembea kwa miguu ni sawa utaombaje msamaha au utajishushaje kwa kosa ambalo unajua so lake.
Mbali ya wapi kariakoo kote wametandaza biashara zao.Hao Wamachinga hawako sawa ukipita kwenye biashara zao ni kutukana ndicho wanajua si ustaarabu.Ukanyange vitu vya mtu halafu useme hujakosea? Kwanini asingepita mbali huyo bwana inaonekana alikuwa mtu wa dharau!
Ndiyo mnatolewa sasa na mkikaidi mtapewa kipondoKwa hiyo huwa mnapita wapi?
Kwani nchi ambazo hazina wamachinga watu huwa wananunua vitu vyao wapi...wats tunaendelea tabia za ajabu sana..Ni sawa na kuchimba dawa maporini..zamani ilikua Ni tabia..ata madereva walivyopigwa marufuku Kuna ambao walipingaBarabarani ndio penye wateja sasa wafanyeje? We utafunga safari kwenda machinga complex kununua “mishkaki ya pumbu”
Usichokielewa ni kwamba watu hawanunui vitu kwa machinga kwa kupanga! Mi sinaga mpango na street vendors au hao machinga ila napokiona kitu ambacho napenda on sight kama nina hela nanunua same as to most guys!Kwani nchi ambazo hazina wamachinga watu huwa wananunua vitu vyao wapi...wats tunaendelea tabia za ajabu sana..Ni sawa na kuchimba dawa maporini..zamani ilikua Ni tabia..ata madereva walivyopigwa marufuku Kuna ambao walipinga
Acha tu mwana, bado tunamlilia...Wamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .
======
Mwanza. Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), Ernest Matondo amesema kifo cha Rais John Magufuli kimewaondolea wamachinga shujaa na mtetezi wao.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi kwa njia ya simu leo Alhamisi, Machi 18, Matondo ametaja uhuru na fursa ya kufanya shughuli zao bila bughudha kutoka mamlaka za halmashauri na vitambulisho vya wamachinga kuwa miongoni mwa mambo ambayo kundi hilo litamkumbuka nalo Rais Magufuli aliyefariki dunia jana.
“Kabla ya Rais Magufuli hajaingia madarakani wamachinga hawakuwa na uhakika wa kesho yao; kulikuwa na operesheni za mara kwa mara za kuwaondoa mitaani iliyoambatana na kunyang’anywa au kuharibiwa mali zao. Yote hayo yalikoma chini ya uongozi wa Rais Magufuli,” amesema Matondo.
Ameongeza, “Zamani wamachinga tulikuwa tunatozwa ushuru wa kati ya Sh200 hadi Sh500 kwa siku. Lakini kwa miaka miwili sasa chini ya Jemedari John Pombe Magufuli tunalipa Sh20, 000 pekee kwa mwaka kwa ajili ya vitambulisho vya wamachinga na kufanya biashara popote.”
Kauli ya kumbukumbu njema ya Rais Magufuli kwa wamachinga pia imetolewa na Anna Sylvanus, mfanyabiashara mdogo katika mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza anayesema kiongozi huyo alijenga msingi uliowalazimisha viongozi na watendaji wa Serikali kuwasikiliza na kutatua kero za wanyonge.
“Yeye binafsi alitoa nafasi kwa wananchi kueleza kero zao wakati wa ziara zake na mara nyingi alionyesha kukerwa alipobaini baadhi ya kero zingeweza kutatuliwa na viongozi wa chini. Nakumbuka kuna wakati aliwakemea papo hapo wasaidizi wake akiwataka waende kwa wananchi kutatua kero zao,” amesema Anna
Katibu wa wafanyabiashara vijana katika soko la Makoroboi, Joseph Charles amewaomba viongozi wa Serikali kuendeleza yote mema yaliyoasisiwa na kusimamiwa na Rais John Magufuli kama njia ya kumuenzi.
wakamfuate mtetezi wao,kama hawataki kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na nchi,hii siyo awamu ya jpm anatamka tu hadharani kuwafurahisha wmachinga bila kufuata sheria na taratibu za nchi, zama zimebadilikaWamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .
======
Mwanza. Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), Ernest Matondo amesema kifo cha Rais John Magufuli kimewaondolea wamachinga shujaa na mtetezi wao.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi kwa njia ya simu leo Alhamisi, Machi 18, Matondo ametaja uhuru na fursa ya kufanya shughuli zao bila bughudha kutoka mamlaka za halmashauri na vitambulisho vya wamachinga kuwa miongoni mwa mambo ambayo kundi hilo litamkumbuka nalo Rais Magufuli aliyefariki dunia jana.
“Kabla ya Rais Magufuli hajaingia madarakani wamachinga hawakuwa na uhakika wa kesho yao; kulikuwa na operesheni za mara kwa mara za kuwaondoa mitaani iliyoambatana na kunyang’anywa au kuharibiwa mali zao. Yote hayo yalikoma chini ya uongozi wa Rais Magufuli,” amesema Matondo.
Ameongeza, “Zamani wamachinga tulikuwa tunatozwa ushuru wa kati ya Sh200 hadi Sh500 kwa siku. Lakini kwa miaka miwili sasa chini ya Jemedari John Pombe Magufuli tunalipa Sh20, 000 pekee kwa mwaka kwa ajili ya vitambulisho vya wamachinga na kufanya biashara popote.”
Kauli ya kumbukumbu njema ya Rais Magufuli kwa wamachinga pia imetolewa na Anna Sylvanus, mfanyabiashara mdogo katika mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza anayesema kiongozi huyo alijenga msingi uliowalazimisha viongozi na watendaji wa Serikali kuwasikiliza na kutatua kero za wanyonge.
“Yeye binafsi alitoa nafasi kwa wananchi kueleza kero zao wakati wa ziara zake na mara nyingi alionyesha kukerwa alipobaini baadhi ya kero zingeweza kutatuliwa na viongozi wa chini. Nakumbuka kuna wakati aliwakemea papo hapo wasaidizi wake akiwataka waende kwa wananchi kutatua kero zao,” amesema Anna
Katibu wa wafanyabiashara vijana katika soko la Makoroboi, Joseph Charles amewaomba viongozi wa Serikali kuendeleza yote mema yaliyoasisiwa na kusimamiwa na Rais John Magufuli kama njia ya kumuenzi.
Hata wewe ipo siku utafuria tuwakamfuate mtetezi wao,kama hawataki kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na nchi,hii siyo awamu ya jpm anatamka tu hadharani kuwafurahisha wmachinga bila kufuata sheria na taratibu za nchi, zama zimebadilika
Hiyo tabia ni mbaya inapaswa kuisha.itabd watu wawe na plan kwenye matumizi ya pesa zao..na si kununua kila unachokiona..kukiiwa na sehemu maalumu watu watakua wanajipanga na kujua wanaenda nunua nini na kw wakati ganiUsichokielewa ni kwamba watu hawanunui vitu kwa machinga kwa kupanga! Mi sinaga mpango na street vendors au hao machinga ila napokiona kitu ambacho napenda on sight kama nina hela nanunua same as to most guys!
Kiukweli hampaswi kuonewa huruma hata kidogo. Mlishangilia sana injustice aliyokuwa anawatendea watumishi mkawa mnashangilia mno.Wamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .