Hivi ile kampeni ya kutaka Magufuli atawale hata baada ya 2025 itaendelea kwa mama?Wamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .
======
Mwanza. Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), Ernest Matondo amesema kifo cha Rais John Magufuli kimewaondolea wamachinga shujaa na mtetezi wao.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi kwa njia ya simu leo Alhamisi, Machi 18, Matondo ametaja uhuru na fursa ya kufanya shughuli zao bila bughudha kutoka mamlaka za halmashauri na vitambulisho vya wamachinga kuwa miongoni mwa mambo ambayo kundi hilo litamkumbuka nalo Rais Magufuli aliyefariki dunia jana.
“Kabla ya Rais Magufuli hajaingia madarakani wamachinga hawakuwa na uhakika wa kesho yao; kulikuwa na operesheni za mara kwa mara za kuwaondoa mitaani iliyoambatana na kunyang’anywa au kuharibiwa mali zao. Yote hayo yalikoma chini ya uongozi wa Rais Magufuli,” amesema Matondo.
Ameongeza, “Zamani wamachinga tulikuwa tunatozwa ushuru wa kati ya Sh200 hadi Sh500 kwa siku. Lakini kwa miaka miwili sasa chini ya Jemedari John Pombe Magufuli tunalipa Sh20, 000 pekee kwa mwaka kwa ajili ya vitambulisho vya wamachinga na kufanya biashara popote.”
Kauli ya kumbukumbu njema ya Rais Magufuli kwa wamachinga pia imetolewa na Anna Sylvanus, mfanyabiashara mdogo katika mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza anayesema kiongozi huyo alijenga msingi uliowalazimisha viongozi na watendaji wa Serikali kuwasikiliza na kutatua kero za wanyonge.
“Yeye binafsi alitoa nafasi kwa wananchi kueleza kero zao wakati wa ziara zake na mara nyingi alionyesha kukerwa alipobaini baadhi ya kero zingeweza kutatuliwa na viongozi wa chini. Nakumbuka kuna wakati aliwakemea papo hapo wasaidizi wake akiwataka waende kwa wananchi kutatua kero zao,” amesema Anna
Katibu wa wafanyabiashara vijana katika soko la Makoroboi, Joseph Charles amewaomba viongozi wa Serikali kuendeleza yote mema yaliyoasisiwa na kusimamiwa na Rais John Magufuli kama njia ya kumuenzi.
Kwa nn unachuki na vijana walio jiajiri mkuu hao pia wanafamilia.Pia hao machinga ni wapiga kula sasa wachokozeni...ndo maana Mh Magufuri alijua kabisa hili kundi ni watu walala hoi akawaacha wapige kazi.Wajaribu Kama Police hawajalala nao mbele.
Waende masokoni au wachague kurudi vijijini kwao.
Ndio ujinga wa kuntegemea mutu badala ya Mungu. Kesho yenu sie yatuhusu niniWamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .
======
Mwanza. Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), Ernest Matondo amesema kifo cha Rais John Magufuli kimewaondolea wamachinga shujaa na mtetezi wao.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi kwa njia ya simu leo Alhamisi, Machi 18, Matondo ametaja uhuru na fursa ya kufanya shughuli zao bila bughudha kutoka mamlaka za halmashauri na vitambulisho vya wamachinga kuwa miongoni mwa mambo ambayo kundi hilo litamkumbuka nalo Rais Magufuli aliyefariki dunia jana.
“Kabla ya Rais Magufuli hajaingia madarakani wamachinga hawakuwa na uhakika wa kesho yao; kulikuwa na operesheni za mara kwa mara za kuwaondoa mitaani iliyoambatana na kunyang’anywa au kuharibiwa mali zao. Yote hayo yalikoma chini ya uongozi wa Rais Magufuli,” amesema Matondo.
Ameongeza, “Zamani wamachinga tulikuwa tunatozwa ushuru wa kati ya Sh200 hadi Sh500 kwa siku. Lakini kwa miaka miwili sasa chini ya Jemedari John Pombe Magufuli tunalipa Sh20, 000 pekee kwa mwaka kwa ajili ya vitambulisho vya wamachinga na kufanya biashara popote.”
Kauli ya kumbukumbu njema ya Rais Magufuli kwa wamachinga pia imetolewa na Anna Sylvanus, mfanyabiashara mdogo katika mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza anayesema kiongozi huyo alijenga msingi uliowalazimisha viongozi na watendaji wa Serikali kuwasikiliza na kutatua kero za wanyonge.
“Yeye binafsi alitoa nafasi kwa wananchi kueleza kero zao wakati wa ziara zake na mara nyingi alionyesha kukerwa alipobaini baadhi ya kero zingeweza kutatuliwa na viongozi wa chini. Nakumbuka kuna wakati aliwakemea papo hapo wasaidizi wake akiwataka waende kwa wananchi kutatua kero zao,” amesema Anna
Katibu wa wafanyabiashara vijana katika soko la Makoroboi, Joseph Charles amewaomba viongozi wa Serikali kuendeleza yote mema yaliyoasisiwa na kusimamiwa na Rais John Magufuli kama njia ya kumuenzi.
Maeneo yapo hawataki tu kwenda. Wanataka barabaranini bora wakaanza kufanya mchakato wa kuwatafutia maeneo kwanza ya kufanyia biashara .Nguvu kubwa haitakiwi.
Niwe na chuki na machinga ili iweje?Kwa nn unachuki na vijana walio jiajiri mkuu hao pia wanafamilia.Pia hao machinga ni wapiga kula sasa wachokozeni...ndo maana Mh Magufuri alijua kabisa hili kundi ni watu walala hoi akawaacha wapige kazi.
Ha ha haMaeneo yapo hawataki tu kwenda. Wanataka barabarani
Pigilia msumari hapo, hatutaki huruma ya mtu ila tunataka haki kwa wote.haiingii akilini hata kido go machinga wapange bidhaa mbele ya biashara na maduka ya wafanyabiashara wengine halafu utegemee usawa.Machinga anapanga vitu mbele ya biashara za walipa kodi halipii mazingira leseni kodi Ulinzi nk..Kama Taifa tumeona sote namna ambavyo biashara zilikufa na zinaendelea kufungwa kwa kuwaruhusu watu kujiamulia mambo ambayo sheria za miji zimekataza.pumbavu zenu. fuateni sheria na siyo upendeleo
kila mtu anapambana kwa kufuata sheria
Km huna chuki nao basi pambana na maisha yako waache nao wapambana na maisha yao na kwa nn kila mara watu wanasema eti mapato yamepungua kwa ajiri ya machinga ni lini TRA wametangaza mapato yamepungua kea ajiri ya machinga mm nawatetea maana ktk kutafuta maisha nilisha wahi pitia huko najua changamoto za huko.Usahuri tu wale ambao wako barabarani na wafanyiwe utaratibu wapange sehem ambazo si kero kwa wapita njia pia mabanda yapunguzwe ila sio kuwaoondoa wote.Mkuu nakuhakikishia km watakimbizwa jiandae kukabwa mchana kweupe mtaana na wizi kuanaza kurudi na kuwapa polis kazi ngumu ya kulinda usalama wetu.Niwe na chuki na machinga ili iweje?
Wafuate taratibu huu utawala changamoto kubwa ilikuwa watu kutokufuata taratibu. Watu wanapanga nyanya kwenye lami ujinga tu.
Endelea kuamini CCM kuwa inawekwa madarakani na machinga.
Kwani ni lazima muwe wamachinga? Si mrudi vijijini mkalime?Wamachinga wamesema kifo cha rais Magufuli ni pigo kwao kwani ni mtu aliyewaheshimisha na kubadili maisha yao tangu aingie madarakani .
======
Mwanza. Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), Ernest Matondo amesema kifo cha Rais John Magufuli kimewaondolea wamachinga shujaa na mtetezi wao.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi kwa njia ya simu leo Alhamisi, Machi 18, Matondo ametaja uhuru na fursa ya kufanya shughuli zao bila bughudha kutoka mamlaka za halmashauri na vitambulisho vya wamachinga kuwa miongoni mwa mambo ambayo kundi hilo litamkumbuka nalo Rais Magufuli aliyefariki dunia jana.
“Kabla ya Rais Magufuli hajaingia madarakani wamachinga hawakuwa na uhakika wa kesho yao; kulikuwa na operesheni za mara kwa mara za kuwaondoa mitaani iliyoambatana na kunyang’anywa au kuharibiwa mali zao. Yote hayo yalikoma chini ya uongozi wa Rais Magufuli,” amesema Matondo.
Ameongeza, “Zamani wamachinga tulikuwa tunatozwa ushuru wa kati ya Sh200 hadi Sh500 kwa siku. Lakini kwa miaka miwili sasa chini ya Jemedari John Pombe Magufuli tunalipa Sh20, 000 pekee kwa mwaka kwa ajili ya vitambulisho vya wamachinga na kufanya biashara popote.”
Kauli ya kumbukumbu njema ya Rais Magufuli kwa wamachinga pia imetolewa na Anna Sylvanus, mfanyabiashara mdogo katika mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza anayesema kiongozi huyo alijenga msingi uliowalazimisha viongozi na watendaji wa Serikali kuwasikiliza na kutatua kero za wanyonge.
“Yeye binafsi alitoa nafasi kwa wananchi kueleza kero zao wakati wa ziara zake na mara nyingi alionyesha kukerwa alipobaini baadhi ya kero zingeweza kutatuliwa na viongozi wa chini. Nakumbuka kuna wakati aliwakemea papo hapo wasaidizi wake akiwataka waende kwa wananchi kutatua kero zao,” amesema Anna
Katibu wa wafanyabiashara vijana katika soko la Makoroboi, Joseph Charles amewaomba viongozi wa Serikali kuendeleza yote mema yaliyoasisiwa na kusimamiwa na Rais John Magufuli kama njia ya kumuenzi.
Mjinga wewe kwasababu ulikuwa machinga ndio Iwe sababu ya wavunja sheria wenzio waachiwe. Mbona hamuendi kuuza kwenye milango ya bank au ikulu au msikitini. Usitumie kuuza kwako machinga ndio usahihi wa machinga wenzio.Km huna chuki nao basi pambana na maisha yako waache nao wapambana na maisha yao na kwa nn kila mara watu wanasema eti mapato yamepungua kwa ajiri ya machinga ni lini TRA wametangaza mapato yamepungua kea ajiri ya machinga mm nawatetea maana ktk kutafuta maisha nilisha wahi pitia huko najua changamoto za huko.Usahuri tu wale ambao wako barabarani na wafanyiwe utaratibu wapange sehem ambazo si kero kwa wapita njia pia mabanda yapunguzwe ila sio kuwaoondoa wote.Mkuu nakuhakikishia km watakimbizwa jiandae kukabwa mchana kweupe mtaana na wizi kuanaza kurudi na kuwapa polis kazi ngumu ya kulinda usalama wetu.
Hivi imeshindikana kabisa kwa wamachinga kutengewa maeneo na si kuziba njia na biashara zaoKwa nn unachuki na vijana walio jiajiri mkuu hao pia wanafamilia.Pia hao machinga ni wapiga kula sasa wachokozeni...ndo maana Mh Magufuri alijua kabisa hili kundi ni watu walala hoi akawaacha wapige kazi.
Na walikuwa wanapiga kweli kweli ..maana machinga walizidi kuongezeka.Hawajui kuwa jamaa walilenga kupiga mbaombao zao.
Hazpitagi Tra hizo,ni from machinga 2 the pocket.
Wewe ni Kuku kabisa tena broiler mwenye kideriNenda kawaambie hivyo mwenyewe uone kama utarudi na kichwa kikiwa kimeungana na shingo mbuzi ww!
Maeneo yapo kibao,machinga complex limekuwa jengo la kuvutia bangi na ndege kutagiaAjira hakuna km watawakimbiza machinga najua ni bomu jingine ccm inajiandalia ni bora wakaanza kufanya mchakato wa kuwatafutia maeneo kwanza ya kufanyia biashara .Nguvu kubwa haitakiwi.
Kwani hwana maeneo yao rasmi?Kwa nn unachuki na vijana walio jiajiri mkuu hao pia wanafamilia.Pia hao machinga ni wapiga kula sasa wachokozeni...ndo maana Mh Magufuri alijua kabisa hili kundi ni watu walala hoi akawaacha wapige kazi.
Kuna siku moja pale mtaa wa Msimbazi walimuua jamaa mmoja mwenye gari baada ya kukanyaga bidhaa zilizopangwa kwenye lami,na jamaa wiki hio hio ndio alikuwa anafunga Ndoa.Niwe na chuki na machinga ili iweje?
Wafuate taratibu huu utawala changamoto kubwa ilikuwa watu kutokufuata taratibu. Watu wanapanga nyanya kwenye lami ujinga tu.
Endelea kuamini CCM kuwa inawekwa madarakani na machinga.
Wewe msukuma naona bado huamini kuwa mungu wenu kaenda,unarusharusha mateke ya lala salama.aKm huna chuki nao basi pambana na maisha yako waache nao wapambana na maisha yao na kwa nn kila mara watu wanasema eti mapato yamepungua kwa ajiri ya machinga ni lini TRA wametangaza mapato yamepungua kea ajiri ya machinga mm nawatetea maana ktk kutafuta maisha nilisha wahi pitia huko najua changamoto za huko.Usahuri tu wale ambao wako barabarani na wafanyiwe utaratibu wapange sehem ambazo si kero kwa wapita njia pia mabanda yapunguzwe ila sio kuwaoondoa wote.Mkuu nakuhakikishia km watakimbizwa jiandae kukabwa mchana kweupe mtaana na wizi kuanaza kurudi na kuwapa polis kazi ngumu ya kulinda usalama wetu.