Walokole wengi nuksi sana

Sema dini zote kwa ujumla mkuu,...hakuna penye uafadhali.....Kote ni uongo na uharibifu wa asili ya watu.
 
UKWELI ni kwamba hili suala hajalifikisha mahali HUSIKA. huku amekuja kusimanga. na kama anasoma post yangu, namshauri aachane na mambo ya watu. yeye mwenyewe anayo mengi ya kuacha na ya kufanya pia
 

Picha wakiwa wanagegedana plz ili tuamini maneno yako
 

Kodofan;
Nimeufurahia sana mchango wako makini na wa hekima sana. Ati walokole wa Kipentekoste na Assemblies of God. Dah! Hao ni sampuli gani tena jamani?? Kwangu wapya kabisa.
Yaonesha huna hata uwezo wa kubagua kondoo na mbuzi weye wala parachichi na embe kwako yote maembe tu. Aksante kwa kunielewesha pia kuwa kuna walokole wa Lutheran na Katoliki. Naona umewasoma sana hawa watu. Je, na weye ni miongoni mwa kundi lipi hao??
 
Yeah...tena hovyo hasa i,e wana roho ya mpinga kristo hasa.
Wengi wao wanakuwa walifanya maasi mengi kabla ya ulokole hivyo ile silika ya roho mbaya bado wanakuwa nayo.
 
Ulikataliwa na mlokole ww. Inaonyesha ulimpenda sana sasa hv unamaliza hasira zako JF. Pole sana ndugu yangu o
 
Mikutano yao ni kukosoa wenzao tu
Walokole tunawaita watakatifu wa vibanzi*waovu wa boriti*aka wanafiki
Wazee wa injili uchwara
Hao ndiyo waliosemwa na yesu wameikataa kweli na kufuata isiyo kweli kuiabudu
Wamekataa utakatifu na kuukimbilia ulokole yesu akuja kuwafanya watu wawe walokole bali watakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…