Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Nimegundua!
Zinduna ni Mzanji, kule huwa hawatumii sambusa kabla ya ndoa.
Na kama anayo biqra, basi ni ya mbele ambako tendo la ndoa linafanyikia, for that reason, huyu hajawahi kufanya tendo la ndoa...
Mengine malizia mwenyewe!
 
Vuta subira, bado miaka 8 nimalize masomo!
 
Sasa siri za PM wewe unazianika hapa ili iweje? Ungewajibu huko huko kuepusha msongamano, hapa naona umejichoresha zaidi si unaona wanavyokudhihaki?

Dhihaka kwangu ni Burdaaani tosha, kwani kipi cha ajabu!?
 
Nimegundua!
Zinduna ni Mzanji, kule huwa hawatumii sambusa kabla ya ndoa.
Na kama anayo biqra, basi ni ya mbele ambako tendo la ndoa linafanyikia, for that reason, huyu hajawahi kufanya tendo la ndoa...
Mengine malizia mwenyewe!

Una maana gani!? usitafune maneno, wewe sema tu hayo ulotaka kuyasema
 
Vuta subira, bado miaka 8 nimalize masomo!

Hakuna shida miaka nane si mingi ni kama usingizi mmoja kwa wapendanao. Bora tu kama umenielewa vizuri na huna pingamizi na ombi langu.
 
Hakuna shida miaka nane si mingi ni kama usingizi mmoja kwa wapendanao. Bora tu kama umenielewa vizuri na huna pingamizi na ombi langu.
Inshaaallah, mnyaazimungu akujaalie uwe na subira ya yakini na usiwe laghai na fedhuli kama wale majahili wanaowatelekeza wapenzi wao baada ya kuwatenda
 
siku hizi kumpata demu bikira ni inshu na ukimpata mchunguze vizuri atakuwa anagawa tigo mbele anapaacha
 
JF kuna vituko lol sasa hao wanaokuuliza Pm mamy si ungewajibu huko PM
 
If you want to remain virgin until marriage... Two words for you "BUTT SEX"
 
Inshaaallah, mnyaazimungu akujaalie uwe na subira ya yakini na usiwe laghai na fedhuli kama wale majahili wanaowatelekeza wapenzi wao baada ya kuwatenda
Wallah si miongoni mwa mafedhuli ambao wananyenyekea kabla hawajapata, napenda stara na sipendi kutenda kwa sababu sipendwi kutendwa.
Yaani kama ulikuwa unatafuta rafiki wa ukweli basi hapa ndiyo umefika kabisa.
 
wewe sie tunamsifu kabisa

Hello senorita, lady, beauty.

Kabla sijaongea ntakupa cheti cha vvu
namiliki magari yoote yaliyoandikwa DFP
nina mvuto wa haja kuliko Mark Henry

sema ndio twende zetu, PNG kwa maongezi
siku ya kwanza kuifanya iwe ya adventure zaidi tutakuwa kwenye private jet yangu

am a quintesseintial african husband

Sasa siri za PM wewe unazianika hapa ili iweje? Ungewajibu huko huko kuepusha msongamano, hapa naona umejichoresha zaidi si unaona wanavyokudhihaki?
 
Zinduna njoo uwape vidonge vyao maana sound nyingi kuliko ukweli.
 
Lol....kongosho umepinda...
 
weeee, tusiharibiane
hili soko huria
mwenye kisu atakula nyama

ila kwa tuliogombea nafasi chabo muhimu

Zinduna njoo uwape vidonge vyao maana sound nyingi kuliko ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…