Waliosoma Tosamaganga High School

Mkuu nyie mlichaguliwa wababe tupu
Ilikua ya mwisho kuchagulia watu asilimia 90 toka kanda ya kaskazini yaani darasa lilijaa ww Arusha,Moshi,Tanga,Morogoro na Dar es salaam. Wachache six ya 2008 walitoka Iringa na Mbeya kama sikosei kwenye watu wote combi zote wa Iringa na Mbeya hawakuzidi 5
 
Mkuu mimi nimemaliza form six 2010 .nijuze nini kiliwakuta.

from kingty
 
Nulikua natamani tu kumaliza shule ya kiboya sana ila watu mnaipa sifa isizo stahili tuache unafiki 2009-2011,Pcm
 
Hamna kitu nimesoma advance, uchafu na maisha ka yale ni kuyakemea sio kusifia
 
Tosa ni shule nzuri sana kama utakuwa umejitambua wakati unasoma. Juhudi zako ndizo zitakazokutoa, I was there in 2001-2003 PCM. I enjoyed a lot!
 
Aaaahhh nmekumbuka mbali sanaaa

Enzi hizo Tosa boys wanawachanganya watoto WA cagrielo girls na Iringa girls...

Ila watoto WA Cagrielo tulikuwa wakali sanaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hehehe mkuu kujisifia huku kungeambatana na kapicha ingenoga sana
 
Inyasi hatunaye. [R.i.P]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…