Waliosoma Tosamaganga High School

ntaku pm mkuuu...vp ulikuwaga pale kipind hcho?..ulimkuta mwl.kilasi au chogo kwa jins wanafunz walivyokuwa wakimtania

Nilikuwa hapo pia na ananijua vizuri sana [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tosamanga ni shule nzuri kimazingira, lakini kwa walimu ni kama shule nyingine za serikali, msuli wako tu more.... Nakumbuka vurugu ya wanakijiji na wanafunzi hadi kumpoteza mwenzetu.. Rest in peace mwana

Rip kwake
 

Chama langu hiyo [emoji38][emoji38][emoji38]
 

Jj shula
 
waliniacha hoi sikumbuki vizur ilikuwa form six class ipi walivomaliza mitihan walipanda juu na kulusha karatasi mavitabu kalculeta na wakisema tukutane ud mkuu alipigwa na butwaa so fun sana......

Mwaka wangu huo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ikawa tukija kufata vyeti wanatupa adhabu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Migumi ni sehemu ya utaratibu Tosa Boyz. Kutoka 2005 mpaka 2008 kulikuwa na migomo kadhaa😃😄
 
Migumi ni sehemu ya utaratibu Tosa Boyz. Kutoka 2005 mpaka 2008 kulikuwa na migomo kadhaa[emoji2][emoji1]

Huu mwaka wangu niliingia pale 2006 na kutoka 2008 nilisoma pcb,sema nilikua mtoro balaa muda mwingi niko Iringa town nasoma tuishen au Tanga kabisa home.
Migomo vurugu hii miaka iliongoza mpaka tukapigana na wanakijiji Ipamba dah
 
Ila Tosa imetufunza vingi sana kuliko darasa a, foleni za vya kula nilijua hata wapi nikae ili nisije banwa mlangoni dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…