tena kwenye phys kungekuwa hakuna mambo ya definitions na ku state laws ndo kabisaaa, maana calculation muda mwingine zinakujaga zimepinda sana kwa hiyo mwanzo mwisho unajibu definitions na baadhi ya lawsKun mwanangu moja ye alitok skul iz za tec cjui walisom projectile wakt wak o level asa ndo tuna report nn aka ckia kun test ya projectile ye akaenda me nkamwambia joh hat twit hujapg na skul umechelew paper hutochomoa iyoo akasema ohooo mm nmesoma iyo topic o level yan ss watu wa tec bhn raha san topic nmeisom o level na huk nyiny ndo mnaisoma dah me nkamwambia gud bob nend,,,mzee mwamba alikula 10 ya 100 ten izo kumi ticha alimpa kwa ajir ya kukusany data na wino alioutumia,,,,,shabash!! Physics hainag utec
OhooooPhys prac nazo muda mwingine zinazinguaga sana, sanasana prac za umeme
Mkuu na kuna zile za heat......sana sana ile ya kutumia paraffin yaan umaweza kesha na kuchanganyikiwaPhys prac nazo muda mwingine zinazinguaga sana, sanasana prac za umeme
yan mimi kilichokuwa kinanisaidia nilikuwa najua sana ku forge ,ila bila hivyo dah ningekuwa naongea mengine sasa hivi, maana utakuta muda bado kama dakika ishirini bado hujaanza swali la mwisho , bado kufunga vifaa kukusanya data kuandika practical report yaan dah, hapo ndipo umuhimu wa ku forge unapouonaMkuu na kuna zile za heat......sana sana ile ya kutumia paraffin yaan umaweza kesha na kuchanganyikiwa
hii nimeripot tu nikakuta wanaume wanasolve paper ya necta iliyopita nilichoka na hali mm nina daftari mpya zoteAu labda unasoma cytology af unakuta njemba linakomaa na genetics
hii nimeripot tu nikakuta wanaume wanasolve paper ya necta iliyopita nilichoka na hali mm nina daftari mpya zote
bro nilitaka kurudi home
lazima uogope kwa mwendo huo kwa kweli si mchezobro nilitaka kurudi home
Physics kufaulu ilikuwa ni strategy tu coz ukisema ukomae na mitopic yote ile duh ilikuwa balaaMechanics ilikuwa issue!
duuuh aisee lazima udatePrac ya physics necta nilitaman nisikusanye pepa maana hamna nilichojibu lakini nikashanga majibu Nina E
Kwa lipi??Huu mzik mwepes ngoma PGM ndio hatar