Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Nilisoma miaka mingi iliyopita ktk shule maalumu O' level, nikaenda A' level ktk shule maalumu but nilijikuta nimekuwa nikisoma naelewa lakini baada ya wiki au wiki mbili sikumbuki niliyokwishasoma. Nikahisi nimekuwa kilaza. Nikawaambia walionitangulia (form 6) wakanambia hiyo ndio PCB inatakiwa uwe unakariri kariri na wala sio kwamba umekuwa kilaza bali mambo ni mengi.
 
Niiaka 16 toka nimalize pcb na nafanya kazi tofauti na udaktari,i wish nirudi nisomee udaktari sababu y ya pesa,kuna pesa sana
 
Niiaka 16 toka nimalize pcb na nafanya kazi tofauti na udaktari,i wish nirudi nisomee udaktari sababu y ya pesa,kuna pesa sana

Udaktari hauna pesa ya kutisha.Basic ya 1.5 huwezi kuita ni pesa sana
 
mm nilikuwa CBN ila tulikuwa tukipenda kuwatania PCB na kuwaambia "physics sio matako kila mtu anayo"maana ilikuwa Ikiwasumbua sana
 
Wale wataalamu wa PCM, smart Guy's tukutane apa, ukikumbushia muzic wa calculus, mechanics & physical chemistry.
 
Kuna kitambu cha advanced mathematics kiliandikwa na professor Leonard Kanangwe Shayo( R.IP)

Nakitafuta sana kina kava jekundu sijui mtanisaidiaje


Samahani kwa kuvamii mi mwanaume ngangari Wa kusolve PCM
 
Wakuu naomba kama kuna mweny soft copy ya vitabu vya chemistry na bios advane anitumia au link
 
Mkuu umenkmbsha skuli CBG tuliwaita cabbage

Af wao PCB waliitafsri Kama Pumbu Chafu Balaa, kwa maana PCB hamnaga kuoga ...
Hahahahhaha dàaa hahahahhaha umeniua sanaaaa hahahahhaha kwenye kutokuoga hapo kweli mzee tulikuwa tunahisi kwamba mechanism zote zita evaporate
 
Kuna ticha fulan iv ndanda boys alitubania samples kwa ajili ya practical ya chemistry 2012 hyo dah mungu anakuona mwalimu.
 
Back
Top Bottom