[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mzee kweny physics kun kidudu kimoja kinaitwa projectile motion hap hakuna mjanjaaa mm nilikuw nasukuma maswal lkn nlikua cjiamin maan niliumbuk san kun swal lip kweny pam la ally abdala lilinitoa jasho tangia hap nlipunguz moto