Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,917
- 31,708
- Thread starter
- #121
yaan we acha tuPcb noma san
yaan we acha tuPcb noma san
Huyu mgote mtalamu sana wa kucopy maswali yanachangamoto kiukweli bila kumsahau muddy physicsMgote yule mjamaa ni shida......unakuta ameweka maswali ya exercise magumu balaa
Hapo mtu akiwa ameshapigwa za chembe na physics.....yaan lazma ulale kidogo
yah kwa advance hakuna kitabu hata kimoja kinachojitosheleza, labda kidogo chands(principles of phys) kidogo inaweza ika cover mpaka 70%Hakuna kitabu kinachojitosheleza mkuu refer tom dancan
Phys hatarii inafika kapindi mpaka 40 unaitafuta kwa tochiAlafu saiv tumevuka et dogo wako unamwambia dogo vtu rahis so jitume wakat ww ulitak uach skul uende chuo diploma sem tu ulikua hun namn
Hawa jamaa wako vzr.....Ila somo lenyewe ndio linatukataa cc wa PCBHuyu mgote mtalamu sana wa kucopy maswali yanachangamoto kiukweli bila kumsahau muddy physics
Hapo ndipo tunapo wapoteza madogo.....wakat inabidi tuwaambie ukweliAlafu saiv tumevuka et dogo wako unamwambia dogo vtu rahis so jitume wakat ww ulitak uach skul uende chuo diploma sem tu ulikua hun namn
yah mara ya kwanza mende alinisumbua sumbua , lakini kuna siku nikasema leo namfungia kazi lazima nimjue, basi kuanzia siku hiyo mende ndio akawa specimen ambaye nilikuwa natamani kila siku wamlete nilikuwa sichukui zaidi ya dakika 10![]()
![]()
mkuu kwenye panya hapo ndio palikuwa shida kufunga kile kimshipa........ila kudissect mende ndio ilikuwa tabu hasa ikiwa mara yako ya kwanza
muddy phys ma pam yake yako bomba sana na ma pam ya ally abdalla nayo yapo fresh sanaHuyu mgote mtalamu sana wa kucopy maswali yanachangamoto kiukweli bila kumsahau muddy physics
Na ilivyokuwa rahisi kumchora......bac ni mteremko tuuuyah mara ya kwanza mende alinisumbua sumbua , lakini kuna siku nikasema leo namfungia kazi lazima nimjue, basi kuanzia siku hiyo mende ndio akawa specimen ambaye nilikuwa natamani kila siku wamlete nilikuwa sichukui zaidi ya dakika 10
Ila projectile haina mwenyeweKun mwanangu moja ye alitok skul iz za tec cjui walisom projectile wakt wak o level asa ndo tuna report nn aka ckia kun test ya projectile ye akaenda me nkamwambia joh hat twit hujapg na skul umechelew paper hutochomoa iyoo akasema ohooo mm nmesoma iyo topic o level yan ss watu wa tec bhn raha san topic nmeisom o level na huk nyiny ndo mnaisoma dah me nkamwambia gud bob nend,,,mzee mwamba alikula 10 ya 100 ten izo kumi ticha alimpa kwa ajir ya kukusany data na wino alioutumia,,,,,shabash!! Physics hainag utec
Phys kama ndio swal unakutana nalo kwa mara ya kwanza kwenye mtihani lazima usande , maana utakuta swali moja hilo hilo limebeba concept za projectile , humo humo SHM na baadhi ya vi subtopicsOrganic nilisoma Mara tatu ndio nikaelewa dah physics ilikuwa mambo mbaya ukiingia kwenye pepa PCB shaft ujibu swali unalolijua kama unajaribu itakula kwako
Projectile haina mwenyewe kweli ukiisoma utaona rahisi af fupi sana , njoo kwenye maswali sasa,sanasana yale ya ku prove ndo dah hatari na kama trig haipandi ndo kabisaaaIla projectile haina mwenyewe
Kun mwanangu moja ye alitok skul iz za tec cjui walisom projectile wakt wak o level asa ndo tuna report nn aka ckia kun test ya projectile ye akaenda me nkamwambia joh hat twit hujapg na skul umechelew paper hutochomoa iyoo akasema ohooo mm nmesoma iyo topic o level yan ss watu wa tec bhn raha san topic nmeisom o level na huk nyiny ndo mnaisoma dah me nkamwambia gud bob nend,,,mzee mwamba alikula 10 ya 100 ten izo kumi ticha alimpa kwa ajir ya kukusany data na wino alioutumia,,,,,shabash!! Physics hainag utec

Physics hainaga mjanja ,unaweza ukapasua pepa za shule lakini necta uka sandaKun mwanangu moja ye alitok skul iz za tec cjui walisom projectile wakt wak o level asa ndo tuna report nn aka ckia kun test ya projectile ye akaenda me nkamwambia joh hat twit hujapg na skul umechelew paper hutochomoa iyoo akasema ohooo mm nmesoma iyo topic o level yan ss watu wa tec bhn raha san topic nmeisom o level na huk nyiny ndo mnaisoma dah me nkamwambia gud bob nend,,,mzee mwamba alikula 10 ya 100 ten izo kumi ticha alimpa kwa ajir ya kukusany data na wino alioutumia,,,,,shabash!! Physics hainag utec
Yaan ni topic fupi ila imekusanya sub-topic kibaoo......sasa kama hujui sub topic moja ujue ndio bac tena......utaishia kupata maswali ya kuproveProjectile haina mwenyewe kweli ukiisoma utaona rahisi af fupi sana , njoo kwenye maswali sasa,sanasana yale ya ku prove ndo dah hatari na kama trig haipandi ndo kabisaaa