Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,905
- 31,686
- Thread starter
- #221
.
aah kweli, nakumbuka tukiwaburuza sans awoPcm tupo fiti wewe
tuchague ST wetu auKwa wale waliosoma PCB tukutane hapa ,tukumbushane mawili matatu na changamoto tulizo kutana nazo pindi tunasoma
du hilo nalo nenoMnyama Physics amekatisha Ndoto za waliokuwa Wanategemea Kuwa Madaktari Pale Mechanics kule Projectile Motion basi shida shidaaa