Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Wiki ya kwanza nimefika nlikuta kuna jamaa anafundisha washikaji Biochemistry bila kudesa kwenye daftari dah alinichanganya halafu anajaza ubao anafuta mara kadhaa nlitamani kubadili combi, nikampigia bimkubwa akanambia ngoja tujaribu kufight ubadili shule uhamie PCM
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tena ndo kipindi hicho unaingia form five bado ile harufu ya ordinal level haijakutoka vizuri , illikuwa ukifundishwa af hujapitia kama wiki tu hivi ukirudi tena kusoma unaona vitu vipya kabisa yaan dah
Mimi kuna siku nililia...nilipokabidhiwa ule mkate
Afu huku unali Biological science
Bado kwenda kukamata vyura
Khaaah PCB nomaaa
 
Nakumbuka mwalimu wetu wa Bios Logos alikataa kutuambia maana ya anus akatushauri tulitafute kwenye dikshonari...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mmenikumbusha mbali ,nilimsumbua tisha siku anafundisha evolution niliamini kuwa kuku wote walitoka majini . Digital electronics haina mjanja .
 
Back
Top Bottom