Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,891
- 31,675
- Thread starter
- #41
Mkuu umenkmbsha skuli CBG tuliwaita cabbage
Af wao PCB waliitafsri Kama Pumbu Chafu Balaa, kwa maana PCB hamnaga kuoga ...

Hongera sana mkuu. Basi na sie twaja hata kwa maisha ya brn. Wao ndio walichagua tupitie humoMm nmepga necta ya six enz za jumanne maghembe mdogo wang
Mkuu mm skuwah kusolve ktab tofauti Na chandi aisee lakn msonge ukatik...View attachment 395795
View attachment 395796
View attachment 395797 Hivi ni miongoni mwa vitabu vya phys nilivyokuwa navikubali
Pcb ni namba nyingine mkuu huwezi linganisha na cbg KUMBUKA PCB people confusing brain achana na hii namba waulize watu wa PCM wanaipigia saluteUsijali jisikie upo nyumbani PCB na CBG ni kama ndugu wanao share baba ila mama tu ndio tofauti (brother from another mother)
Amani mkuu, pngza ubishoo lakn, Chuo kna Ku dsco maana najua coz za science hazna kuremba hata edu. Ukipata Chuo Kama sua utatagaHongera sana mkuu. Basi na sie twaja hata kwa maisha ya brn. Wao ndio walichagua tupitie humo
Alaf ndio kombinesheni yenye mitihani mingi zaidiPcb ni namba nyingine mkuu huwezi linganisha na cbg KUMBUKA PCB people confusing brain achana na hii namba waulize watu wa PCM wanaipigia salute
Ina paper 11 mkuu acha kabisaAlaf ndio kombinesheni yenye mitihani mingi zaidi
PCM mbona wachumba Tu, hahahahhahPcb ni namba nyingine mkuu huwezi linganisha na cbg KUMBUKA PCB people confusing brain achana na hii namba waulize watu wa PCM wanaipigia salute
yan ukitoka na one ya 3 mpaka 5 kwa pcb aisee we ni noma sanaIna paper 11 mkuu acha kabisa
Yaani three ni sawa na one ya CBGyan ukitoka na one ya 3 mpaka 5 kwa pcb aisee we ni noma sana
PCM wachumba tu , kwa kuwa hesabu ina tabia ya kukaa kichwani ukiwa mtu wa ku solve , kwa hiyo baadaye ukisha izoea unaweza usipitie kabisa na bado ukachana au ukapitia baadhi ya topics tu basi, ila kwa pcb baba lazima usome kila kitu kuanzia michoro , definitions mbalimbali na vitu vingine kama hivyoPCM mbona wachumba Tu, hahahahhah
yah nina vitabu vingi vya bios na chem pamoja na phys, nitafute 0626698381Naweza pata Used BIOLOGICAL SCIENCE humu ndichi??
Please help!
Ubishoo sina mkuu, umenihisi vibaya tu.Amani mkuu, pngza ubishoo lakn, Chuo kna Ku dsco maana najua coz za science hazna kuremba hata edu. Ukipata Chuo Kama sua utataga
kama wewe mpenzi wa kusoma vitabu vya ngaiza pia ntafute vipo vya kutosha kuanzia physical chem, organic soil , na in organicNaweza pata Used BIOLOGICAL SCIENCE humu ndichi??
Please help!
Mbona utofauti ni somo moja tu, so one mbona inarelation na ya CBG tu.Yaani three ni sawa na one ya CBG
Mi ni BS mkuu Lugha yake nyepesi halafu inabembeleza huwa haiboiHua naikubali sana roger mun caster ,chand , hivyo vilikuwa moja ya vitabu safi Sana aseh pamoja na Biological science
PCB wengi hupenda kuita "BS" Like jitabu jekundu