Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Nilifika tabora boys form five nimetoka zangu shule ya kata nakutana na jamaa ananiambia amepga mpaka organic, unaweza ukazirai.
Au labda wewe ndo unafika upo 5 unawaza topics kama projectile measurement af unakutana na jamaa ana solve topic kama wave au heat
 
Sifa kubwa za watu wa pcb
...hawajui/hawapendi physics
...walikua wanasona wave ya pepa one (miaka yetu wave ilikua pepa one na two)
....wanaogopa maths
....walikua wanachukia pale pure inapoingia kwenye physics mfano kwenye topics kama mechanics, umeme na tronix
....walikua wanaongoza kufeli physics
....baada ya mock wanadrop na kuacha kusoma physics
. ....wanachagua topics za kusoma kwenye phyics
....walikua wanakamia/walikua wazuri kwenye kemia!!
 
Dah,kuna ticha mmoja hivi wa BIOS yaani akifundisha classification sharti awachoree mpaka mjusi digestive system duh.alinifanya nisongoke nikaambulia D credit.Na ile mivitabu ya vines and reens alivyokuwa anaipenda duh.wakati nilikuwa karne ya biological science
 
Sita sahau mtiahan wa form six 2013 nilifanya pepa 3B zote chemistry and biology ingawaje nilikua CBG bt CBG wenzangu walibahatika kupga pepa 3A
Mm nilipita njia za panya kufika chuo kikuu (hapa namaanisha nilifanya dissection ya panya ambayo past pepa yake ilikuwa ya 1993 ambapo nilikuwa na miaka 2 tangu nizaliwe)
Shikamoo form six
Nashukuru gamba nimesha richukua juz
Nasubiria gamba la chuo kikuu mwez 11 mwaka huu
Mungu naomba unitimizie ndoto zng mm mtoto wa mama ntilie
Amen
 
Back
Top Bottom