Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Duuh...
A blast from the past....
Miaka hiyo sisi tulikuwa tunatumia mageti yote, Kilwa road, Uwanja wa Taifa na Main gate
Ilikuwa zamani mno.......kweli tumezeeka sasa
Kina Wajadi na Sabini hao wakongwe...
Major Massawe enzi hizo na Captain Kipingu.......
Bwenge, Bakuza na Ngajua, Ntibwela, ....
R.IP Mrs Lyimo, R.I.P Mbonabucha couple,
Tumejenga madarasa kibao, wenyewe, tripu za makarai ya mchanga kwa sana..
Tunahamisha Ammution , tunabeshwa AK47, mikanda risasi na bunduki za ajabu, kuhamishia kwenye store mpya, halafu ya zamani yanageuzwa madarasa

Tulipiga Tambaza kikwelikweli kipigo , na ushindi juu fainali uwanja wa taifa, mpaka O level yao ikafutwa.
1993, tulishinda Dar es salaam Umiseta, kwenye Football, Basketball, Netball, na Volleyball, mkoa mzima. Bingwa Jitegemee, na kweli shule ilikuwa wakati huo inatilia mkazo sana kwenye Michezo.
 
Hakika wewe ni Mkongwe! Kwa list hiyo ya Walim kuna mmoja alikuwa anaitwa Shushi! alikuwa na kina Sabini!
 
Jite for Life ,Hivi jambo la Alumni waliosoma pale bado linaendlea nkumbuka Mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 2014#
 
namkumbuka sana marehemu mbonabucha yule mlemavu wa mguu alikua mtaalam sana!wapi kaboka mchizi jina lake halisi limenitoka kidogo yule ticha wa civics
Mbona bucha alikufa kwa ngwengwe alikua anatoka na mwanafunzi mwenzetu wakuitwa Asia alikua na bonge la tako mbona bucha alikua hapindui pale yan alikua analia kama mtoto huyo asia alikua hapigwi na mwalimu yeyote...wote walikufa kwa ngoma
 
Nakumbuka Renatusi Njohole amesoma Jitegemee tena kipindi hiko kapten Msimbazi
Njohole alipita pale 5 na 6 enzi hizo ally mayai ndani ya nyumba, waziri mahadhi yuko form3,emmanuel ambrose,eddo kumwembe,solo thang,soggy doggy,daz p,daz mwalimu, chidv benz,kajala,mh temba,rich one,etc.
 
Yale mashati ya shule waliyokuwa wanatupa pale shule...mabayaa!! Yaliitwa bwenge! Yaani baada ya wiki tu, shati limefubaa, mziki wake ukutwe nalo sasa limefubaa siku ya inspection...utajuta kumjua bwenge dadadadeki
Tulikua tunayaita asante bwenge..hapo ni lazima mzazi anunue kaptula,shati,soksi na viatu yan vile vishat ukifua mara moja kinapanda juu kama kitop
 
mimi nmesoma jkt kipindi mkuu wa shule akiwa ni Mkisi....
Daa nakumbuka msanii D knob wakati anaandika mashairi ya elimu mtaani.com dawati la nyuma kabisa huku amefungua vifungo vitatu vya shati oversize,akakutwa na mkisi kwa sababu darasa letu la A level lilikuwa karibu na Staff Office,adhabu aliyoipata ya ku craw chini ya madawati na viti kama yupo depo huku anachezea mboko za mgongo ALITOA mlio wa kufa mtu,alivyomaliza adhabu na shule akaacha kwa utoro.
 
Mbona bucha alikufa kwa ngwengwe alikua anatoka na mwanafunzi mwenzetu wakuitwa Asia alikua na bonge la tako mbona bucha alikua hapindui pale yan alikua analia kama mtoto huyo asia alikua hapigwi na mwalimu yeyote...wote walikufa kwa ngoma
Aisee.

Huyo Mbonambucha mwanae ndiye huyu bondia wa sasa George Mbonambucha?
 
1782097_705481902815942_1692643582_a.jpg

Salaam kwa wote mliowahi kusoma Shule ya Sekondari ya Jitegemee lengo la uzi huu ni kusalimiana na kukumbushana vitu vizuri na vya kipekee vinavyopatikana/vilivyokuwa vinapatikana shuleni Jitegemee
binafsi nakumbuka sana vitu vifuatavyo
1. Mkungu Tree: Huu ni mti unaotumiwa sana kwa ajili ya kufanyia vikao na School baraza
2. Uwanja wa damu: hapa ndo pale kwata huwa inafanyikia
3. Smart Area: ukifika hapa utake usitake lazima ukimbie
4. Sanga Hall: haa hapa ndo sehemu ya kupatia chakula kwa wanafunzi wa hostel

Watu amabao siwezi kuwasahau ni Pamoja na Ndyamkama, Mbwenge, Afande Tall, Afande Kajimala, Wajadi(huyu kwa
waliokaa Hostel hadi miaka ya 2007 nadhani wanajua habari zake)
unaweza ukaongezea unachokikumbuka zaidi ukiwa Jitegemee Sekondari
Mwalimu Wajadi alifariki mwaka juzi
 
Back
Top Bottom