Waliosema pombe sio maji hawakuwa waongo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,784
699,255
1419083696718.jpg
 
Jack Daniels na Hennessey halafu wamelalia godoro tupu hao inaonekana wamepiga hela kubwa sana wakaingia ghetto, something fishy
 
Jack Daniels na Hennessey halafu wamelalia godoro tupu hao inaonekana wamepiga hela kubwa sana wakaingia ghetto, something fishy

hivi na wewe unayejiita pichu una maana gani?
 
Last edited by a moderator:
Hata habari hawana.

Pombee pombeee...
Ikikolea inakuwa noma...

Pombee pombeee...
Ikikolea inakuwa soo...
 
Wengine wakilewa wana liaaaaah!
Wengine mitusi balaaah!
Akina sisi zina kimbilia guest house!
 
Vijana wengi wakiume siku hizi wamekuwa wakilawitiwa na rafiki zao baada ya kulewa na kulaghaiwa kwenda kulala sehemu tofauti na kwao huku wakiwa hawajitambui.ulevi wa kupindukia na ulawiti ni watoto mapacha na mama yao ni kupenda vya bure
 
hapo dunia na chumba unaihisi vinazunguka na kukuangukia...tungi nomaaaa
 
Back
Top Bottom