Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

jamanii sielewi inamaana hawa 543 ndo wenye mkopo tu au wengine tupo ila majina badoo maana majina yetu hakuna

usiogope majina yanatokaga kwa batch.nakueleza kama mwanachuo ambaye teyari nipo chuoni na nina mkopo,huwa kunakuwa hadi batch ya kumi so wanatoa taratibu ivo ivo
 
Back
Top Bottom