umekula 100% s0524.0044.2011 f bhsm 1 ndaikeje, rehema tembelea maswayetu blog for more info
hivi hizo 100% unazionaje mkuu
umekula 100% s0524.0044.2011 f bhsm 1 ndaikeje, rehema tembelea maswayetu blog for more info
Hongera mkuu umekula 100%
Naomba uniangalizie Rehema said S0428.0090.2011....
umepata hongera rehema said
msaada kaka s3490/0044/2011
Habari wakuu
Chuo kikuu cha Mzumbe wametotoa majina ya wanafuzi waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Majina nimeambatanisha hapa chini na yapo kwa mifumo ya excel na PDF. Utachagua file format unayoipenda au ilio convinient na device unayotumia.
Ahsantee naweza kujua asilimia ngapi ninepata
mgubhe innocent upo kaka hongera
unamanisha nimepata eeh???? sema kaka asilimia ngapi kaka maana hapa Nina pressure balaaa
yap umepata kijana
naenda kanisani ku shukuru mungu amina.thanks brother
Ahsantee naweza kujua asilimia ngapi ninepata
unatakiwa kumalizia 220000 per year
hongera kama unamtegemea mungu mungu akubariki sana may utatakiwa kulipa 110000 kwa semester hata hongera mkumbuke sana mungu wako maana wengi wamekosa. ndugu yanguAwwwwww thank you Jesus....... I believe in you God..... ni kwa neema tuu mimi mtoto wa mkulima awwww... ahsante yehova ntalitangaza Nina lako kila sehemu..... ahsante mkuu kwa taarifa ivi Leo naenda kutoa ushuhuda church