Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

jamanii sielewi inamaana hawa 543 ndo wenye mkopo tu au wengine tupo ila majina badoo maana majina yetu hakuna
 
hapo hata sielwi yaan ......kwl public adiministration majina kumi na mbili tu jmn
 
Kwahiyo Kwa Walio Pata Mkopo Wanatakiwa Kwenda Na hiyo School fees Kama Walivyo Dai mwanzoni au Inakuwaje hapo
 
Back
Top Bottom