Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

desiigner

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
520
Reaction score
230
Habari wakuu

Chuo kikuu cha Mzumbe wametotoa majina ya wanafuzi waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Majina nimeambatanisha hapa chini na yapo kwa mifumo ya excel na PDF. Utachagua file format unayoipenda au ilio convinient na device unayotumia.

 

Attachments

Back
Top Bottom