nimekutumia Pm ili ujue jumla ya pesa yote pamoja na registration yako .Awwwwww thank you Jesus....... I believe in you God..... ni kwa neema tuu mimi mtoto wa mkulima awwww... ahsante yehova ntalitangaza Nina lako kila sehemu..... ahsante mkuu kwa taarifa ivi Leo naenda kutoa ushuhuda church