Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,562
- 27,633
Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
Ongeza na wewe unayoikumbuka