Anna Mosha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 209
- 61
prof mwaikusa aliuawa na kagame kwasababu alipokuwa anamtegea interahamwe kule arusha alisema mteja wake hatakiwi kushitakiwa kama kagame naye hashitakiwi.(its hearsay). hatuwezi kusema ccm ilimuua mwaikusa kwasababu alipigania mgombea binafsi kwasababu hata kwenye hizi katiba pendekezwa mgombea binafsi hata ccm walikubali.
mvungi, mwanzo nilijua aliuawa kwa sababu ya tanganyika, nikafuatilia sana nikagundua walikuwa vibaka majambazi wa kawaida tu. inasemekana kule alikuwa anakaa ni mbali na wenzie na watu wa huko uswahilini/mtaani kibamba wakiona shangingi la katiba linapita wanafikiri umejaza mihela mle. wale walio muua mvungi ni vibaka wa kawaida kabisa, nina uhakika from source ya uhakika. sema ndio bahati mbaya alifia kwenye coincidence.

.....Mmeshikwa pabaya safari hii. Yaani umeishia kurekebish maandishi tu wala huja-comment kitu.
Rudisheni hela zetu za ESCROW sasa nyie magamba na mlivyokuwa na roho ngumu memuuwa Mgimwa ili mchote mpunga.
Scotland Yard wangechunguza sawia na hili la Nkono kulishwa sumu uingereza . Kwani ni busara sana kujua pia uhusiano uliopo Kati ya hiki kifo na hata kile cha Balali na wizi wa fedha .pia WEZI hawa waachunguzwe kwa umakini kuhusika na wizi mwingine hata kama tutarudi miaka 15 nyuma ! Maana haiwezekani Mtu akaanzia wizi kwa kukwapua zaidi ya 300BSasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa.
Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza kupiga ndogondogo kwa mkubwa (prezdaa) Mgimwa aondolewe ktk nafasi hiyo na apewe mmoja wa wabunge (ambaye amepata mgawo wa fedha hizo kwa sasa.)
Ilikuwa hivi-Kuanzia mwaka 2012 baada ya kuwa waziri wa fedha Dr.Mgimwa alianza kuandamwa na kufuatwa na mabepari hao ili wajadiriane kuhusu pesa za escrow account lakini kwa uzalendo wake alikataa katakata pesa hizo kutoka na kulipwa huyo Singasinga na Washirika wake.
Baada ya kuona kuwa ameziba kila sehemu na njama zao kugonga mwamba wauaji hao walimuwekea sumu ambayo inasemekana iliwekwa kwenye maji ya kunywa na hapo ndipo Dr.mgimwa alipatwa na ugonjwa wa ajabu na kushindikana kutibiwa hapa nchini mwisho wake wakampeleka nchini Afrika ya kusini ambapo aliugua huko kwa muda wa miezi takribani 3 akaaga dunia.
🙊USHAHIDI wa MAUAJI HAYO🙈
Ikumbukwe kwammba Dr.Mgimwa alipelekwa Afrrika ya Kusini kutibiwa kati ta mwezi wa august na septemba 2013 na hakurudi mzima, na huu ndiyo ulikuwa muda (sept-december 2013 ) ambao mchakato wa malipo ya fedha za ESCROW ulianza mpaka malipo yake yakafanyika.
Chanzo cha habari kinasema barua zote za kuanza nchakato wa malipo mpaka kukamilika kwa malipo hayo yalikuwa ktk kipindi hiki (sept-december,2013) ambacho Dr.Mgimwa alikuwa hayupo na baada ya kuonekana ni kigingi kwa fedha hizo kutoka.
Ndugu zangu, Fedha hizo zilichotwa kiulani kipindi Waziri wa sasa wa Fedha Saada Mkuya akiwa Naibu waziri wa Fedha,hivyo hili saga na yeye analijua vizuri sana na inasemekana wabunge wameshamwambia aachie ngazi kabla fagio lao litakapofika.
Hivyo tarehe ya kuanza kuugua na kusafirishwa kwenda Afrika Kusini na tarehe ta kuchotwa pesa za umma.
Masikini Mgimwa alijitahidi kuwatetea watanzania katika kuzuia wizi huo lakini mapepali wakamshinda,leo Mungu anawaumbua...
My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow
Pili,waziri wa sasa wa Fedha awajibishwe kwani anahusika kwa namna moja au nyingine.
Wachunguze nini tena wakati ushatuambia waliomuua Dr. Mgimwa hawa hapa?Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa
My take..serikali uchunguze kwa kina kifo cha Dr.mgimwa sambamba na kuchotwa fedha za Escrow
Huu umbea mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao......
Huu umbea mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao......
ndo maana ili kufunika soo wakamtafuta kijana wake aje arithi mikoba ya ubunge kalenga,
Kwa taarifa za chini chini jamaa anaandaa makala ya jicho pevu kuhusu swala la escrow,si unajua anavyonza lazima swala la mgimwa lianze.
"July mwaka 2013 aliyekuwa waziri wa fedha wa tz mh dr mgimwa alianza kusumbuliwa na ......." (In Mohamed Ali tone)
Cc: Mohammed Ali.
= wajadiliane
Acha utani bwana,Mohamed Alia akiamua kuifanyia kazi hii scandal hapatatosha aiseh!
Kuna rafiki yangu ni ndugu wa damu wa the late Mgimwa mpaka leo hii nikimuuliza kuhusu kifo cha mzee wake huwa ananiambia hii nchi iache tu coz days before kuanza kuugua mzee alihisi kuwindwa.
bora umeamua kujiunga na bakita bibiye....huku utakuja pasuka kichwa bure....kwa madudu yenu mnayoyashabikiaRudia nyuzi uone.
Sioni cha maana, naona ni kama vile mchezo wa kuigiza tu. Uongo mwingi unasambazwa kwa sasa kuliko ukweli. Subiri ripoti rasmi.
bora umeamua kujiunga na bakita bibiye....huku utakuja pasuka kichwa bure....kwa madudu yenu mnayoyashabikia
Utarekebisha sana spelling leo na kichwa chako kama nazi= wajadiliane