minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,557
- 22,569
Wewe kama unaweza kukaa ukaziamini propaganda za kijinga jinga na kukariri vijarida vya kishamba vya cyprian unawezaje kuukubali Ukweli wakati boss wako cyprian Musiba ni mmoja wapo wa washambuliaji kwenye Tukio la kutaka kumuua Tundu.FBI na uganga wapi na wapi,Cheap propaganga.