Waliomshambulia Lissu waanza kujitokeza

Waliomshambulia Lissu waanza kujitokeza

Kingine ni hiki , Kiongozi Mkubwa Kusema kwamba Jimbo la Lissu lilitelekezwa bila shaka huu ni mpango wa Mungu mwenyewe wa kuwaumbua hadharani tena bila huruma wafadhili wa shambulio .
 
Hata ungekuwa na akili ndogo kiasi gani , Kitendo cha mtu yeyote kutaka Mh Lissu afutiwe dhamana na akamatwe akiwa Hospitali na mabandage yake , si tu ni unyama bali ni ushetani uliopitiliza , hili si jambo la kawaida !

Kwa namna yoyote ile huwezi kuacha kumhusisha mtu mwenye roho mbaya ya hivi na waliomshambulia Lissu , itakuwa ajabu sana na kufuru kwa Mungu kuhangaika kutafuta wachunguzi wa kimataifa kujua ukweli wa shambulio la Lissu ikiwa Ushahidi wa wazi tunao

Mungu mbariki Tundu Lissu
Jiwe kajitaja mwenyewe leo
Where in the World kiongozi anaweza akafurahia unyang'anyi wa kiti cha ubunge wa mtu aliyechaguliwa na wananchi
Huyu mtu ana utu kweli?!
It's sickening kusikia majigambo haya
Live Long Lissu
 
Jiwe kajitaja mwenyewe leo
Where in the World kiongozi anaweza akafurahia unyang'anyi wa kiti cha ubunge wa mtu aliyechaguliwa na wananchi
Huyu mtu ana utu kweli?!
It's sickening kusikia majigambo haya
Live Long Lissu
utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! wameanza kujitaja wenyewe !
 
sarakasi zilianza hivi

Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Back
Top Bottom