minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,557
- 22,569
Mungu kaamua kuwaumbua CCM kwa njia nyingi sana japo wanajitahidi kujificha kwa njia za kuleta waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali lakini nguvu ya mungu ni kubwa wanazidi kuumbuka zaidi kila kukicha .Baada ya kuanza kudai kuwa Lissu hana ushahidi wa kuthibitisha maidai yake kuwa wao ndio wanaohusika, sasa wameanza kuweweseka na ushahidi unazidi kupatikana kirahisi kwa kuwa unatoka kwa wahusika wenyewe.