Wabaya wa Tundu Lisu ni wakazi wa huko Dsm na hao ndiyo walikwenda Dodoma kumpiga Risasi, Zilitoka Dsm Gari mbili yaani Toyota vx na Nissan nyeupe kwenda Dodoma ndani ya hizo gari walikuwemo watu tisa ( 9) kwa mujibu wa Upelelezi wa Siri toka kwa FBI waliopo ubalozi wa Marekani ambao walifanya uchaguzi wa kimya kimya kwa siri kubwa wakamkabidhi Tundu Lisu na viongozi wa chadema. Baada ya kufika Dodoma eneo la shambulio ile gari ya Toyota vx ambayo iliwabeba watu wanne wawili wasiojulika na Bashite Maliyamungu na le mutuz ilipaki Getini kuzuia geti kufungwa au gari ingine kuingia na ile gari ingine Nissan nyeupe iliingia ndani ikiwa na watu watano yaani wawili wasiojulika na Jerry Muro, Cyprian musiba na Heri kisanduku ambaye ndiye alibeba bunduki kubwa na kufanya shambulio kali kwa kasi pupa papara huku akisaidiwa na cyprian Musiba aliyekuwa kabeba bunduki ndogo, baada ya shambulio wakaondoka kwa kasi kubwa kwenda kulala kukesha morogoro kwa mganga wa kienyeji na pindi wakiwa huko ndipo Bashite Maliyamungu akapigiwa Simu kuwa cctv camera zinaonyesha sura za jerry muro, cyprian Musiba na Heri kisanduku akaamua kuondoka kwa kasi kurejea Dodoma kwenda kuzing’oa cctv zote akiwa ameambatana na Le Mutuz huku wengine wakisakia kwa mganga wa kienyeji hadi waliporejea na kwenda kuzificha kusikojulikana ingawa Kwa mujibu wa Le mutuz zipo nyumbani kwa Daud Maliyamungu Bashite.