Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,307
- 289,253
Hata ungekuwa na akili ndogo kiasi gani , Kitendo cha mtu yeyote kutaka Mh Lissu afutiwe dhamana na akamatwe akiwa Hospitali na mabandage yake , si tu ni unyama bali ni ushetani uliopitiliza , hili si jambo la kawaida !
Kwa namna yoyote ile huwezi kuacha kumhusisha mtu mwenye roho mbaya ya hivi na waliomshambulia Lissu , itakuwa ajabu sana na kufuru kwa Mungu kuhangaika kutafuta wachunguzi wa kimataifa kujua ukweli wa shambulio la Lissu ikiwa Ushahidi wa wazi tunao
Mungu mbariki Tundu Lissu