taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 538
Mbona huyu RPC anakanusha kuwa Malima hakuwa na SMG ilhal Malima mwenyewe alikiri kuwa anamiliki hiyo silaha pamoja na bastola. Huyo RPC anataka kutoa ujumbe gani ama imegundulika kuwa Malima anamiliki bunduki hiyo kinyume na taratibu zinazotakiwa?. Jambo lingine ni kwa nini huyo RPC anawahi kukanusha kuwa aliyemwibia Malima sio mwanamke, inawezekana mwanamke akashiriki kupanga hiyo dili lakini hao vijana walishirikishwa katika kuhamisha mzigo tu! Mbona anatumia nguvu kubwa kusawazisha mambo!