Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

Kwasasa ACT ipo kwote Tz kwa muda mfupi sana. Kama sio huu muungano wa UKAWA mambo yangekuwa tofauti.
 
Safi sana ZZK ..CDM watajuta kubadiri via za angani mfurulizo
 
Pamoja na kwamba nilipenda sana Zitto arudi mjengoni but sijaelewa sifa hizi ambazo mleta uzi umempa zinatokana na nini, ACT wameshinda viti vingapi hadi sasa hivi? Unawezaje kumsifia kiongozi mkuu wa chama kwa kushinda kiti 1 tu. Halafu hata madiwani wa ACT wapo wangapi!? tena hesabu iwe ya huko huko Kigoma.
 
Acha mambo ya ajabu ww.
Zitto mnafiki sana, kamdanganya Anna badala ya kuwania Ubunge hata jimbo 1 Kigoma eti akamudanganya awanie Urais wa JMT huku akimtelekeza wakati wote wa Kampeni.
Katika uzi mwingine nimemshauri Anna aungane na Dr. Slaa waanzishe chama chao cha siasa kwa sababu cha Mbowe kimekuwa cha kukumbatia ufisadi na ACT ni ya wasaliti.
 
Yule mama angegombea ubunge angepita sema ZZK alimcheze mchezo kwa kutumia prof.Mkumbo alafu mama akochomekewa gafla.
 
Walimsifia saana kafulila kumbe wanakigoma wamempimia tu anavojfaragua na hao wachaga na kumsahau ZZK, wakamwambia atafutiwe jmbo Kilimanjaro akadhan masihara sasa waha washafanya yao alete zle kelele za mara tuzo mbunge bora oooh
 
Kawasaidia ccm kwa kugawa kura hata wagombea wake wameshindwa loh
 
Mnyika asiporudina bungeni na lisu tushakufa wallah bunge la vilaza litakuwa
 
Yule mama angegombea ubunge angepita sema ZZK alimcheze mchezo kwa kutumia prof.Mkumbo alafu mama akochomekewa gafla.

Na angeweza kuukwaa aisee mana kina mama mwaka huu wameshinda had sehemu ngumu
 
Tumewaonya mara nyingi humu siasa ni sayansi sio nyomi za watu, wakati Zitto anafanya siasa nyie mnafanya maigizo ya kudeki barabara!
 
Yule mama angegombea ubunge angepita sema ZZK alimcheze mchezo kwa kutumia prof.Mkumbo alafu mama akochomekewa gafla.

Mama kakitangaza chama vizuri.
 
Walimsifia saana kafulila kumbe wanakigoma wamempimia tu anavojfaragua na hao wachaga na kumsahau ZZK, wakamwambia atafutiwe jmbo Kilimanjaro akadhan masihara sasa waha washafanya yao alete zle kelele za mara tuzo mbunge bora oooh

ha ha haa
 
Acha mambo ya ajabu ww.
Zitto mnafiki sana, kamdanganya Anna badala ya kuwania Ubunge hata jimbo 1 Kigoma eti akamudanganya awanie Urais wa JMT huku akimtelekeza wakati wote wa Kampeni.

Baada ya uchaguzi. si ajabu wengi wakamkimbia. Kiongozi mkuu wa chama asiye na imani na mgombea urais wa chama chake...!!
 
hamnajipya chadomo na ukawa yenu Zitoooooooooo Mkombozi wa ujiji
 
Walimsifia saana kafulila kumbe wanakigoma wamempimia tu anavojfaragua na hao wachaga na kumsahau ZZK, wakamwambia atafutiwe jmbo Kilimanjaro akadhan masihara sasa waha washafanya yao alete zle kelele za mara tuzo mbunge bora oooh

Aliwaita watu wa Kigoma wauza Mawese hatimae mambo c mambo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…