zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde

mkuu unalalama mbaya tena ukiwa na uhaba wa taarifa. machali alikuwa na ZZK ACT ila mambo hayajamwendea vyema
kafulila alileta jeuri na kuhisi atatoboa alone maana ameshakuwa famous
unataka ushindi alafu unamzingua messi/CR 7 wa siasa hakuna jinsi watulie tu. japo nawakubali sana.
Msaliti huyu yupo too local huko kwao? Majidai yote ya kwamba wamekuwa chama cha pili kusimamisha wagombea nchi sasa wamevuna nini? Kama wamekuwa wa pili kuwa na uwingi wa kusimamisha wagombea, jee wamepata asilia ngapi ya ubunge ya hao waliowasimimisha? Tuseme wamesimamisha 200 na wamepata kiti kimoja. Wamepata 0.5% (1/200x 100) ya ubunge ya viti walivyosimisha wabunge. Very poor performance. Wamekuwa local huko kwao. Mama Anna ahame chama ACT siyo saizi yake.Chadema walimfukuza wakidhani ndio mwisho wake.
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
mkuu unalalama mbaya tena ukiwa na uhaba wa taarifa. machali alikuwa na ZZK ACT ila mambo hayajamwendea vyema
kafulila alileta jeuri na kuhisi atatoboa alone maana ameshakuwa famous
unataka ushindi alafu unamzingua messi/CR 7 wa siasa hakuna jinsi watulie tu. japo nawakubali sana.
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
Msaliti huyu yupo too local huko kwao? Majidai yote ya kwamba wamekuwa chama cha pili kusimamisha wagombea nchi sasa wamevuna nini? Kama wamekuwa wa pili kuwa na uwingi wa kusimamisha wagombea, jee wamepata asilia ngapi ya ubunge ya hao waliowasimimisha? Tuseme wamesimamisha 200 na wamepata kiti kimoja. Wamepata 0.5% (1/200x 100) ya ubunge ya viti walivyosimisha wabunge. Very poor performance. Wamekuwa local huko kwao. Mama Anna ahame chama ACT siyo saizi yake.
Acha mambo ya ajabu ww.
Zitto mnafiki sana, kamdanganya Anna badala ya kuwania Ubunge hata jimbo 1 Kigoma eti akamudanganya awanie Urais wa JMT huku akimtelekeza wakati wote wa Kampeni.