Labda wewe na Makonda... binafsi sijawahi kufoji cheti and don't take it personal... hakuna suala la kumchukia mtu hapa lakini ni kwamba hatuwezi kutetea uhalifu kwa sababu yoyote ile!!MUNGU mbona ameendelea kutupa neema zake ijapokuwa tuna makosa. MUNGU yupo upande wa wazuri zaid.. SISI na makonda tuko sawa.. The rest mnashangaza sijui kwanini mna chuki naye yeye wakati wapo walioibia taifa mabilion Ila hamuwashikii bango kama huyu
And FYI, Makonda zamani nilikuwa namuunga mkono kwenye mambo mengi tu lakini kwa hili; HAPANA!!!