Waliombeba Makonda wamtelekeza rasmi

Waliombeba Makonda wamtelekeza rasmi

Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Dar population inaekea kuwa milioni 6 kama ulikuwa unamaanisha idadi ya wakazi wake
 
Ile ford ranger nimeisaka nikaamua niendeshe kidogo ila sio ile 615 dah tamu ni gia Saba then ukiweka mafuta inakutajia km utakazotembea iko njema hatari sana
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Nina wasi wasi na akili yako....
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Mungu yupi ha ha Makonda ni mwizi tuu kama wengine anamiliki magari ya watuhumiwa wa dawa za kulevya
 
Lakini media moja nadhani bado ipo na Bashite! Hapa nazungumzia Le Mutuz Media ingawaje CEO wake juzi amenipiga ban kwenye moja ya media outlet zake... Le Mutuz Instagram Inc.
 
Hizo ni Hisia zako ni sawa na mimi NIWEKE picha ya makonda akicheka halafu NIKASEMA mwanaume asiye na cheti hawezi ku smile kama huyu. Simple Sana.. Labda uje na hoja nyingine
Ngoja na wewe utuhumiwe ukalie makanisani
 
Kuna msemo wa kiswahili usemao hivi , URAFIKI WA KWELI NI KATIKA DHIKI NA FARAJA , hivyo ndivyo watanzania tulivyoambiwa na wazee wa zamani , kwamba kama mtu wako wa karibu unatakiwa uwe naye wakati wa shida na raha , kama mlikunywa pamoja basi pia si vibaya mkipigia miayo pamoja.

Sakata la Rc wa D'salaam aliyeonekana shujaa na kubebwa sana na clouds media , ambalo sasa limegeuka huzuni kuu , limenifundisha kwamba duniani hakuna rafiki wa kweli , Kwa sasa Clouds wameruka hatua mia , Makonda hatajwi tena kutwa mara 100 !

Wito kwa vyombo vya habari - kuweni makini sana na wanasiasa wa aina ya Makonda , mtapoteza kama wanavyopoteza wao , kuna miongozo imewekwa ya namna media zinavyoweza kufanya kazi .

Hakuna haja ya kujipendekeza kwa wanadamu , fuateni sheria na utaratibu wa halali tu .

Biblia takatifu imeandika kwamba AMELAANIWA AMTEGEMEAYE MWANADAMU .
kwa kuwa Clouds hawamtaji Makonda basi amerukwa na marafiki zake?kweli nyie wa upande wa pili ni shida
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Mungu hawezi kutetea watu ambao ni fraud kwa sababu hiyo ni dhambi!!!
 
Nitaamini maneno haya siku nitakaposikia kuwa Makonda yuko segerea kunyea debe kwa kosa la kufoji vyeti.
 
Clouds media group Kimya wamefunga Plasta kabisaaa[emoji40][emoji40][emoji40] yaani kina Kibonde kimyaa ha ha Ruge nae kimya anajua aibu yake
 
Maongezi ya Mungu huyafanya kwa vitendo si hivyo mmelalamaaaa weee sasa mko Arusha hebu jatathminini jamani muone kama mnautendea muda justice!
Hizi imani za mahaba hizi. Nijibu Tangu lini binadamu akajipa cheo cha Mungu??
 
Utasubili sana, Makonda ndiye Mkuu wetu wa Mkoa wa Dsm, na tunamkubali sana, huo ukaskazini wako peleka huko huko. Makonda ni mchapa kazi ni mwelewa, ni jasiri. Tena nyinyi namluki tunawajua mnalipwa na huyo Manvi ili mpost uchuro humu jf. Kwendeni zenu.
Makonda huyu ni yule ambae jina lake halisi ni Daudi Albert Bashite lakini baada ya kukwiba cheti ndo akaanza kujiita Paul Christian Makonda?!
 
Mungu hawezi kutetea watu ambao ni fraud kwa sababu hiyo ni dhambi!!!
MUNGU mbona ameendelea kutupa neema zake ijapokuwa tuna makosa. MUNGU yupo upande wa wazuri zaid.. SISI na makonda tuko sawa.. The rest mnashangaza sijui kwanini mna chuki naye yeye wakati wapo walioibia taifa mabilion Ila hamuwashikii bango kama huyu
 
Kwa taarifa yenu akina makonda ni wengi Sana serikalini hadi jeshini... Au niwataje?
 
Lakini media moja nadhani bado ipo na Bashite! Hapa nazungumzia Le Mutuz Media ingawaje CEO wake juzi amenipiga ban kwenye moja ya media outlet zake... Le Mutuz Instagram Inc.
a.k.a lizabon,libaba la ajabu sana lile
 
Back
Top Bottom