Waliombeba Makonda wamtelekeza rasmi

Waliombeba Makonda wamtelekeza rasmi

Kuna msemo wa kiswahili usemao hivi , URAFIKI WA KWELI NI KATIKA DHIKI NA FARAJA , hivyo ndivyo watanzania tulivyoambiwa na wazee wa zamani , kwamba kama mtu wako wa karibu unatakiwa uwe naye wakati wa shida na raha , kama mlikunywa pamoja basi pia si vibaya mkipigia miayo pamoja.

Sakata la Rc wa D'salaam aliyeonekana shujaa na kubebwa sana na clouds media , ambalo sasa limegeuka huzuni kuu , limenifundisha kwamba duniani hakuna rafiki wa kweli , Kwa sasa Clouds wameruka hatua mia , Makonda hatajwi tena kutwa mara 100 !

Wito kwa vyombo vya habari - kuweni makini sana na wanasiasa wa aina ya Makonda , mtapoteza kama wanavyopoteza wao , kuna miongozo imewekwa ya namna media zinavyoweza kufanya kazi .

Hakuna haja ya kujipendekeza kwa wanadamu , fuateni sheria na utaratibu wa halali tu .

Biblia takatifu imeandika kwamba AMELAANIWA AMTEGEMEAYE MWANADAMU .
Makonda ni mpiga dili kama wapiga dili wengine 2....pumbaaaaaaf zake
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote

Unajua mungu alisikia maombi ya wana Wa Israel kutoka misri uniambie ni mungu Wa namna gani ambaye anayesimama ikiwa nafsi za watu wanakukutaa kuwaongoza unalazimisha? Ikiwa enzi za hukumu ya yesu watu walipewa barnaba zidi ya yesu ili aukumiwe...uniambie mungu Wa namna gani anayesimama katika ili?

Kijapo kiburi uja hasara na aibu ndo neno linavyosema..iweni na mapatano kati ya ninyi na ninyi ili mpate kuenenda katika mungu ndo neno linavyosema... Ole wake atakayeleta majaribu kati yenu ndo neno livyosema...

Uniambie mungu gani ambaye unamjua anayeweza kusimama kati ya ili?
 
Utasubili sana, Makonda ndiye Mkuu wetu wa Mkoa wa Dsm, na tunamkubali sana, huo ukaskazini wako peleka huko huko. Makonda ni mchapa kazi ni mwelewa, ni jasiri. Tena nyinyi namluki tunawajua mnalipwa na huyo Manvi ili mpost uchuro humu jf. Kwendeni zenu.
majambazi wengi ni watu wazuri machoni pa wengi !!!
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Umechanganyikiwa kumuingiza Mungu katika rushwa za kupewa magari kiongozi anayetakiwa kuwa mfano.
Ulaaniwe!
 
Unadhani hizi ni kelele, hazitaisha leo wala kesho... ujue tu
Kwa mfano... Kelele kati ya Suala la vyeti na kelele za kuibiwa kura uchaguzi mkuu unahisi lipi ni kubwa Kwa mantiki ya kutiliwa mkazo na watu.. Unahisi lipi lilitakiwa liendelee kuzungumziwa Sana.. Mbona lile mlishasahu.. Na hili mtaliacha tu.. Ni suala la muda
 
Siasa zinawafanya muwaze Hisia za ovyo. Unaona clouds hawana mambo mengine ya kuendelea nayo .. Makonda anabebwa na kutetewa na MUNGU na wakazi zaidi ya million 2-3. Na hii itaendelea Kwa kipindi chote
Ni kweli anatetewa na Mungu kutoka CHATO ndiyo maana na yeye akawa Mungu wa Dar es salaam from Kolomije
 
Umechanganyikiwa kumuingiza Mungu katika rushwa za kupewa magari kiongozi anayetakiwa kuwa mfano.
Ulaaniwe!
Haya buana baada ya story ya Cheti Sasa ya magari.. Mange Atakuja na nyingine endelea kuisubiri.. Hili litapita tu watanzania tunawajua
 
Ni kweli anatetewa na Mungu kutoka CHATO ndiyo maana na yeye akawa Mungu wa Dar es salaam from Kolomije
MUNGU ni mmoja tu. MUNGU wako siku moja atajifunua na
Utaamini kwamba makonda yuko chini ya MUNGU ni suala la muda tu
 
Magu ajifunze sasa dogo anamchafua......ameshanasa kwenye mitego ya rushwa ukiachia vyeti! JPM hana budi kumtoa hapo mambo yaanze upya!!! Ananuka........Daudi ana mikono michafu
Hizo deal wako wote na Mtukufu na mtukufu yule ndiyo anayemtuma akapige deal ili wagawane
 
Haya buana baada ya story ya Cheti Sasa ya magari.. Mange Atakuja na nyingine endelea kuisubiri.. Hili litapita tu watanzania tunawajua
Hii ya kuhongwa magari na kuwa cheti fake ni mwanzo wacha tusubiri huenda kuna makubwa zaidi ya hayo. Hili kupita si hoja kwani mangapi yamepita na sisi hatufukui makaburi?
 
Haya buana baada ya story ya Cheti Sasa ya magari.. Mange Atakuja na nyingine endelea kuisubiri.. Hili litapita tu watanzania tunawajua
Pengine huwajui watanzania.
Hili halitapita, baada ya miaka 10 litaibuliwa.
Heri mhusika alitengeneze sasa kama alivyowaita wengine Central.
 
afu anapenda magari makubwa makubwa
 
Pengine huwajui watanzania.
Hili halitapita, baada ya miaka 10 litaibuliwa.
Heri mhusika alitengeneze sasa kama alivyowaita wengine Central.
Kati ya hili na la kuibiwa kura kwenye uchaguzi alilosema lowasa unahisi lipi lilitakiwa liendelee kuzungumziwa Sana. Au kati ya hili la CHETI na la maufisadi yaliyofanyika lipi ni kubwa... Kwanini Yale mengine hayana nguvu tena hata za kuhojiwa.. Huu ni upepo tu watu wamekosa cha kuwaza Ila yatakuja yenyewe..
 
Kwa mfano... Kelele kati ya Suala la vyeti na kelele za kuibiwa kura uchaguzi mkuu unahisi lipi ni kubwa Kwa mantiki ya kutiliwa mkazo na watu.. Unahisi lipi lilitakiwa liendelee kuzungumziwa Sana.. Mbona lile mlishasahu.. Na hili mtaliacha tu.. Ni suala la muda
Mwanaume mwenye vyeti halali na vya kwake alivyosomea hawezi kulia lia kama huyu, hii ni indicator kuwa ni kweli hana vyeti...
bashite.jpeg
 
Back
Top Bottom