Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,212
- 4,736
Bro achana na itikadi za anefukuzwa chama kimoja ahamie kingine, acha demokrasia ikue
huko mbele wagombea binafsi wakiruhusiwa utasema hivyohivyo wazuiwe maana kutakuwa na utitiri wa wagombea binafsi? hii ndiyo demokrasia mkuu...!
Ushauri wangu waiogope dhambi ya ubaguzi wa dini kabila ubara na uvisiwa.
He he teh teh hamna kitu hapo 2nataka vyama viwili tu kuanzia 2015 cdm kama chama tawala na ccm kama chama cha upinzani
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?
Ata mie nimeshangaa sana kuona wamevaa nguo zenye maandishi hayo. RIP ADC aka CUFTishet zao zimeandikwa Anti-VIRUS,wanamaanisha nini?
sawa,tunasubiri tuone mwanzo wa mwisho wao.yetu macho na masikio.Waliokuwa wanachama wa CUF akiwemo Hamadi Rashidi, leo wameenda kwa msajili wa vyama
ili kuzindua chama chao kipya ambacho kitaitwa ADC.
Pia wamedai CUF imeshakufa bado kuzikwa.
Swali langu ni kwanini wasijiunge na vyama vingine kuliko kuwa na vyama utitiri?