Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

kheri ADC, hivi wadau huku ni kupanuka kwa demokrasia ama kunyambulika kwa upinzania?

Inategemea mtazamo wako demokrasia inamaanisha nini? Ni kuwa mpinzani huru au kibaraka wa CCM

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Chama kilekile, chenye malengo yale yale, na wafuasi walewe waliotoka kwenye chama kilekile . Udini utatumaliza Tanzania
Tatizo unaukumbatia UDINI wa CHADEMA, chama pekee kinachoongozwa na PADRI na kujifanya hupendi udini kwa wengine! Kama mmeamua kuikumbatia CHADEMA ni haki yenu, waache wengine waende DINI nyingine na vyama vingine!
 
rsenal kucheza fainali uefa champions league dhidi ya real madrid
 
Alliance for Democratic Change......Dira ya Mabadiliko.
More to come......
Hamadi Rashid huwezi kuleta mabadiliko yeyote! Unawahadaa wenye njaa tu! Wewe mwenyewe ni kibaraka unayejulikana na kila mtu!
 
Tatizo unaukumbatia UDINI wa CHADEMA, chama pekee kinachoongozwa na PADRI na kujifanya hupendi udini kwa wengine! Kama mmeamua kuikumbatia CHADEMA ni haki yenu, waache wengine waende DINI nyingine na vyama vingine!
Kumbe wewe unatazama kiongozi mmoja ndani ya Chadema ndo unaconclude Udini? Ndo mnavyofundishwa misikitini? Sasa kama Slaa tu ndio sababu ya wewe kuwaita Chadema wadini, vipi ma alhaji waliorudikana CUF na kwenye hiki chama kipya cha Agenda to Demolish Christianity?
 
Narrow minded! Mchungaji Msigwa?! Achana na majina, kila mtu hata chizi anajua CHADEMA inabebwa na kanisa! Accept the facts and let us move on!
 
Narrow minded! Mchungaji Msigwa?! Achana na majina, kila mtu hata chizi anajua CHADEMA inabebwa na kanisa! Accept the facts and let us move on!

Yupo mwingine anaitwa Natse, Mi sitaki niwataje wa CUF kwa sababu wao wanaeleweka hata Redio yao na Magazeti yao yanaeleweka
 
alliance for demolition of cuf

CUF ni ChukiUbinafsi(kama c Udini) na Fitna.....4this U dont need any help in destructing such organisation....its a one man institute, hivyo wasafi hawawezi kukaa eneo kama hilo. Ndio maana leo kuna ADC.
ADC - Dira ya Maendeleo.
 
Una akili kama za Jusa wewe.

Jussa nae ni Majinuni tu. Mi sio majinuni hata kidogo. Mtazamo na mapenzi yangu ni kuwa na Taifa lenye umoja na upendo na mshikamano. Yeyote anayebagua watanzania kwa namna yoyote ile anapaswa apigwe vita usiku na mchana. Kwa CUF tumefanikiwa, hawa ma Alhaji wapya wakianza kutuletea mbwembwe zao za mahakama ya nanihii pamoja na ubaguzi wa wazi hatutaacha kuwapiga vita hapa jf na nje ya jf hadi na wao wasambaratike
 
Agenda to Demolish Christianity

Tafadhali badili identity yako, hustahili kuitwa achilia mbali kujiita Rev. Kwani unavinyemelea vya kibaguzi tena wa kidini. Vipi sisi ndio watanzania, wengi wetu ni waislamu na wakristo sasa unataka mtu awe mpagani ama dhehebu moja na wewe ndio umkubali? Haya ndio majungu ambayo siku zote yanaturudisha nyuma.......sasa ulishiriki vp kulaani lugha za kibaguzi za Jusa ilhali nawe ni MBAGUZI? Unajua sababu iliyopelekea CUF kupasuka? Fuatilia mambo kuwa mkweli acha majungu, acha fitna.
 
CUF ni ChukiUbinafsi(kama c Udini) na Fitna.....4this U dont need any help in destructing such organisation....its a one man institute, hivyo wasafi hawawezi kukaa eneo kama hilo. Ndio maana leo kuna ADC.
ADC - Dira ya Mabadiliko.

Mkuu hivi Mh. Hamad akishinda kesi na kuendelea kuwa mbunge wa mahakama ADC itakuwaje without him?:juggle:
 
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.

Source: Magic Radio

Tuambie wajumbe ni akina nani? Hamad Rashid yumo? nani viongozi wao?
 
Back
Top Bottom