Matokeo ya ndoa takatifu!!!!!! stay tuned by 2015 kutakuwa na vitukuu pia hahahhahah! chama chetu cha mapindowazi chakuza ukoo oops nchi x3 chorusHatimae CCM yapata mjukuuuuuuuuu
alliance for demolition cuf
![]()
![]()
![]()
Ha ha ha ha ha ha. Sijui na rhesus factor ya mtoto ikoje hapo. Kama ya mzazi mmoja ni Rh+ na mwingine Rh- hakika mtoto hataishi; ni lazima atakufa. Tusubiri tuone.
Kwa wazoevu wa mambo ya kisiasa tunajua kua ADC kitatingisha nchi kwani viongozi waandamizi wa chadema,ccm,Nccr,Cuf watahamia huko.
Duuuh!ALLIANCE FOR DEMOLITION CUF
![]()
![]()
![]()
Mawe!!!!!!
na hiki ni cha kiislam?
Hatimae CCM yapata mjukuuuuuuuuu
Anaweza kuishi kwa sababu CCM itamlea mwanawe wa kufikia.Ha ha ha ha ha ha. Sijui na rhesus factor ya mtoto ikoje hapo. Kama ya mzazi mmoja ni Rh+ na mwingine Rh- hakika mtoto hataishi; ni lazima atakufa. Tusubiri tuone.
ninawafahamu hawa wote wezi wezi sana na watu wa mishen town.wanaishi kwa nguvu ya fedha ya hamadi rashid siku zikiisha hauwaoni tena.masikini tanzania ccm wataendelea kutuchezea michezo ya ajabu mpaka lini?shem on them.ila na msikitikia mzee wangu limbu kaingizwa choo cha kike bila kujijua.akishtuka tayari mlango wa choo ushafungwa.pole sana mzee wangu nikutakie safari njema.mwenyekiti wa muda wa chama kipya cha siasa cha alliance for democratic change (adc), said miraji (kushoto), akimkabidhi rasimu ya katiba ya chama hicho, mwangalizi wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, galasia chawene, wakipokwenda kuomba usajili wa muda dar es salaam jana. Katikati ni katibu wa muda wa chama hicho, kadawi limbu.
![]()
![]()
hapa sugu ameliwa. Lol
![]()
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?