Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?

Hii ndo demokrasia ya vyama vingi. DRC kuna vyama vya siasa zaidi ya 480.
 
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.

Source: Magic Radio

Huu utitiri wa vyama si hitaji la watanzania,watanzani wanataka mabadiliko ya dhati toka kwa watu walio tayari kujipambanua kuwa wako tayari hata kufa ili kulinda maslahi ya maskini mmoja...mimi siungi mkono jitihada hii ya watawala wetu kutaka kutugawanya kupitia mavyama mengi ya siasa yasiyo na tija.
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?

Hijui chama ni mtaji mkubwa kwa wahusika wanaoanzisha,
na watalipwa pesa depending wana viti vya ubunge na monthly operation cost ikikubaliwa kusajiliwa, hii yote ni HASARA KWA WALIPA KODI, in short hivi vyama vingine vipo vipo kupata RUZUKU wale walale na kuongea na MAGAZETI DAILY, msajili wa vyama nae MWIZIII, Tendwa hovyoo....
 
hivi huyu mtoto ndio ile mimba waliyopewa na ccm
inawezekana ila sijui atachukua genes za nani? maana baba(ccm) ni fisadi mama(cuf) ni mbaguzi...tuombe mungu mtoto awe wa kubambikiwa labda anaweza kuwa na traits nzuri kidogo...!
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?

katiba ya Jamhuri ya muungano haina kipengere kinachoainisha namba ya vyama vya siasa vinayohitajika kuwepo so no problem hata kama na wewe unavyo vigezo sahihi unaweza anzisha chako mwanajamvi
 
Uanzishwaji "holela" wa vyama ni upi? Unatumia criteria gani kusema uanzishwaji wa chama kimoja ni holela na wa chama kingine si holela?

Maana yangu ni hii: kama kila mtu akifukuzwa kwenye chama anaanzisha chama kipya,je tutafika kweli tuendako?tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havitatusaidia kitu zaidi ya kuwayumbisha wananchi tu.
 
He he teh teh hamna kitu hapo 2nataka vyama viwili tu kuanzia 2015 cdm kama chama tawala na ccm kama chama cha upinzani

me and 30mil. people' likes this
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?

Wanaharakati watakumaliza!! freedom of association tena association of your choice
 
tunahitaji kuwa na wagombea huru.. hii inaweza kusaidia kupunguza huu utitiri wa vyama.. maana wapo ambao wana valid reasons kuhama toka kwenye vyama vyao.. bt majority of them dnt..
 
Nawashauri waliojitoa CUF kuhamia CHADEMA ili kuongeza nguvu kwa upande wa visiwani kwani sasa watu wameshachoka na uwingi wa vyama.
 
hatimaye ccm yapata mtoto
baada ya ndoa ya muda mrefu mama mrembo :busu(cuf) kaamua kuzaa:A S-heart-2::msela:
 
CDM inasubiri ADC ikue ili ipeleke posa kwa wazazi wake yaani CCM na CUF!! Tunamtakia afya njema na malezi mema huyo mtoto(ADC).
 
Au ni hivi "Allience for Demolition of Cuf - ADC"
 
ADC!!!!!!!!!!???twenda tu baadae watapoteana CUF bila kujali kuwa ni mtoto wake itampiga vita sanaa,CCM hivyo hivyo nao watakipiga vita na kwa jinsi watanzania walivyo kitapata tabu kukubalika mwisho kitakufa tu.:washing:
 
kwa mtindo huu wa kuwa na utitiri wa vyama vya siasa ni ngumu sana kuwa na upinzani wenye tija tanzania
 
Hivyo huyu mtoto wa CUF kwa ujauzito wa CCM naye atabase Zanzibar? au yeye sasa atatamalaki bara na visiwani!!
 
Back
Top Bottom