RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,759
- 107,941
Sasa ukiumwa na kujiongezea stress hizo si balaa!Hujaugua ..ndo maana...tulia au lala
Sasa ukiumwa na kujiongezea stress hizo si balaa!Hujaugua ..ndo maana...tulia au lala
Niliumwa feb..sio sasa...nakula maisha nw...very painful una bima nzuri ila huduma hakuna..mxiewSasa ukiumwa na kujiongezea stress hizo si balaa!
Inasikitisha....HUU MSIBA UMEHUZUNISHA WENGI SANA MKOANI MOSHI
NA PENGINE WENGI WANAKUFA HAPO HOSPT BILA KUPEWA MSAADA
WAZIRI WA AFYA WALIOCHANGIA KIFO CHA HUYU MAMA WAONDOLEWE KABISA HAPO HOSPT WATATUMALIZIA WAZAZI WETU
MAPOKEZI MASAA MAWILI BILA HUDUMA??KWELI AISEE
View attachment 1791168
View attachment 1791169
View attachment 1791171
Wewe bado mtoto wa mama hayajawahi kukukuta ukute unatibiwa hosp ya jeshi unatupigia kelele sisi wanyonge kalale hukoKwahiyo wapinzani mkishika nchi wahudumu wa afya watabadilika tabia? haya tuishie hapa
Ninashauri kiwepo kitengo maalumu ambacho hakina uhusiano na utawala wa kcmc ,muhimbili ,mount meru hospital, bungando na sokoine mbeya, ambacho kitaratibu idadi yà Vifo kila siku,kila wiki,kila mwezi na kila mwaka na taarifa hizo ziwe zinatolewa kwenye vyombo vya habari , ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ili kupata kumbukumbu sahihi za watanzania tunaowapoteza. Takwimu hizi huwa ni Siri ya hospital husika na janga kwa familia na serikali ilu tujue namna ya kupunguza Vifo.HUU MSIBA UMEHUZUNISHA WENGI SANA MKOANI MOSHI
NA PENGINE WENGI WANAKUFA HAPO HOSPT BILA KUPEWA MSAADA
WAZIRI WA AFYA WALIOCHANGIA KIFO CHA HUYU MAMA WAONDOLEWE KABISA HAPO HOSPT WATATUMALIZIA WAZAZI WETU
MAPOKEZI MASAA MAWILI BILA HUDUMA??KWELI AISEE
View attachment 1791168
View attachment 1791169
View attachment 1791171
Sawa dadaWewe bado mtoto wa mama hayajawahi kukukuta ukute unatibiwa hosp ya jeshi unatupigia kelele sisi wanyonge kalale huko
😅 mnaboa hatari...Sawa dada
Kaili gani hii uliambiwa wanabagua watu kwa dini huna hayaMarehemu hakuwa mlutheri nini?
Pale hupajui vizuri wewe, ukiwa mlutheri unakuwa daraja la kwanzaKaili gani hii uliambiwa wanabagua watu kwa dini huna haya
Sio kweli wala sio sera ya Hopsitali hii. Toa ushahidi acha kuichafua Hopsitali hii ya Kanda, hovyo kabisa. Je uliambiwa mzazi wa Hoise Temu sio mluteri? Tuache hii maneno.Pale hupajui vizuri wewe, ukiwa mlutheri unakuwa daraja la kwanza
Ndio maana nikauliza hakuwa mlutheriSio kweli wala sio sera ya Hopsitali hii. Toa ushahidi acha kuichafua Hopsitali hii ya Kanda, hovyo kabisa. Je uliambiwa mzazi wa Hoise Temu sio mluteri? Tuache hii maneno.